How to unlock i-phone 4? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

How to unlock i-phone 4?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Manyanza, May 29, 2011.

 1. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #1
  May 29, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Wana jamii!
  Nimepata I-PHONE 4, 16GB kutoka Marekani lakini imekuja na lock, kwa yeyote anayeweza kunisaidia jinsi ya kutoa lock.. Anisaidie
  Heshima!
   
 2. Brakelyn

  Brakelyn JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2011
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,236
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  kwenye menu kuna application imeandikwa 'Cydia'? nisomee software version inayotumika, fungua settings-general-about modem firmware...  kama Cydia ipo basi iphone yako ipo jailbroken,,pia Baseband (modem firmware) ya simu inatakiwa iwe unlockable 01.59 kama sjakosea,,connect Iphone yako kwenye wireless network 'wifi' kama upo karibu na network au unaweza kutengeneza wireless network through ur laptop then connect na simu.

  fungua cydia then chagua 'manage' ipo upande wa kulia chini pembeni ya search, alafu select 'Sources', then 'edit' kulia kwa juu, then 'add' kushoto juu, itafunguka pad ya kuandika URL, andika 'http://repo666.ultrasn0w.com' then select 'add source'..ikimaliza kuAdd sources rudi kwenye 'manage' --> 'sources' then utaiona repo666.ultrasn0w.com imeongezeka. select hiyo repo666.ultrasn0w.combaada ya hapo utakuta ultrasn0w then select instal hapo juu kulia..itaDownload packages za ultrasn0w (kama 4mb hivi) na ku Instal..baada ya hapo weka line yeyote kwenye Iphone then LG life'z good!!

  Note: kwenye repo666.ultrasn0w.com,, hiyo '0' ni zero digit (0)...................cheerz'..
  otherwise kama BaseBand yako ni (04.10.01 au 04.10.02) kuna kitu kinaitwa Gevey Sim kinauzwa around 40thou kinaweza kuUnlock,,Kwa BaseBand zingine lazima ukafanye Factory Unlock simu yako otherwise hutapata carrier network!
   

  Attached Files:

 3. m

  massai JF-Expert Member

  #3
  May 30, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  ni pm nikupe maelezo wapi utapata software yaku unlock
   
 4. Osaba

  Osaba JF-Expert Member

  #4
  May 30, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 1,725
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mkuu hiyo sio rahisi kama unavyofikiria coz simu nyingine za iphone lock yake inakuwa ukifungua cm kinachoonekana ni alama ya chaja haifunguki zaidi ya hapo,so kama simu ikiwa na laini kutoka nje ndio itafunguka na utaona application kama hiyo ya cydia nk,na utakuta nyingine zinafunguka na kunasa kwenye logo ya apple,so kama unataka kufungua iphone ya aina yoyote just google pgm inayoitwa jailbreak yaani hiyo inakuwa na kila kitu cha kufungulia cm hadi cydia lakini tattizo lake inauzwa dola 19,ukifanikiwa kuinunua hiyo pgm inafungua cm zote za iphone hadi ipod zinafungua,sasa the choice is yours Sapna wanafungua kwa sh 70,000 na Kariakoo wanafungua kwa sh 50,000.
   
 5. Brakelyn

  Brakelyn JF-Expert Member

  #5
  May 31, 2011
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,236
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Omary wewe kweli huna Idea na kinachoendelea, ngoja nikupe somo'.. :) :)
  nimeJailbreak na kuUnlock Iphone 4, 3GS kirahisi sana, haihitaji uwe mtu wa kulipalipa ovyo wakati vitu vingine vipo wazi kupitia tutorials kwenye forums mbalimbali,, asilimia kubwa ya solution za matatizo ya software zipo kwenye internet, ni wewe tu kuwa bookworm kuzisoma. mambo ya hardware ndo yanaweza kukupeleka kwa fundi kutokana na mahitaji ya replacement parts'..

  Iphone isipokuwa na Cydia inamaana bado haijawa Jailbroken, na hivyo kabla ya kuUnlock lazima iwe Jailbroken kupitia baseband version ya simu, ndio maana nimemuuliza kwanza mkuu hapo juu kama kuna application ya Cydia kwenye menu yake lakini hakujibu. kama Cydia haipo kwenye simu yake, angepost ios version anayotumia ili nimuelekeze namna ya kufanya Jailbreaking. kama Cydia ipo na Baseband ya simu ni ulockable inakuwa rahisi kuUnlock ndani ya dakika tano kupitia maelezo nilioandika hapo juu..
  ni afadhali kutafuta solution online kabla ya kupeleka pesa Sapna/Kariakoo.............
   
 6. Osaba

  Osaba JF-Expert Member

  #6
  May 31, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 1,725
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mkuu mimi nina expiriance na hizo simu za apple pamoja na ipod zote kuanzia za generations hadi touch si unaona avatar yangu nimeweka logo ya Apple,narudia tena simu kama iko locked na makampuni kama vile verizon kafungua kwake inakuwa ni ngumu kwa sababu kwanza verizon hawaijailbreak simu,so simu ikifungwa itumike na laini za AT&T ikija huku bongo ukiiweka line za huku Bongo ikiwaka itakuja msg inayotaka line husika ya hiyo simu yaani line ya AT&Tu ndio iweze kufunguka ili uweze kuona applications zilizomondani ambazo ni cydia kama ipo,so kama simu isipofunguka utaziona vipi hizo pgm? Ukisoma hizo article zilizopo kwenye internet zinaelezea jinsi ya kuunlock kwa kutumia line zilizokuja na simu kama ni verizon au ni AT&T sasa huku kwetu hizo line wewe utazipata wapi?So mimi nafungua hizo simu kwa kutumia hiyo Pgm ya jailbreak ambayo ina ijailibreak simu na kufunga pgm ya cydia na hiyo pgm mimi niliinunua dola 20 kwenye internet na huwa nina iupdate kila mwezi free of charge,so ww unafikiri simu za iphone za kampuni ya verizon ambazo hazina jailbreak ww unafikiri utaziunlock vipi,wakati simu za black bell za kampuni hiyo ya verizon kuiunlock ni ishu soma makala za nyuma za wadau walioziweka sandukuni hizo simu kutokana na kushindwa kuzifungua.Nasema haya coz nishakutana na simu nyingi za iphone zilizokuwa locked au unapoaupdate new version ya OS ikizima ikiwaka inaganda kwenye logo ya aple halafu ukiweka kwenye itunes inakuja error msg.
   
 7. j

  jeeva Member

  #7
  Jan 4, 2012
  Joined: Mar 13, 2010
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  You can get the Unlock code from the service provider and unlock it from network lock.
   
 8. Zuia Sayayi

  Zuia Sayayi JF-Expert Member

  #8
  Jan 4, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 834
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Jmn hata mm nina cm yangu Nokia 3120classic issue ni kwamba kuna baadhi ya app' nikitaka kuzidownload naandikiwa 'no valid certificate/no certificate found in phon or simcard' naomben msaada nifanyeje Natanguliza shukran.
   
 9. n

  nisha123 Member

  #9
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Using the remote unlocking method you can unlock your apple iphone mobile because its safe for your mobile......
  Get the unlock process for your iphone mobile from this site Mobile Unlocker , here it gives the easy methods to get the mobile unlocked........
   
 10. TajiriMutoto

  TajiriMutoto Member

  #10
  Jun 21, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 87
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  '
  Ningekujibu ila kwa kuwa ni wewe sikuambiii ng'ooo, mweee Manyanza
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #11
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  nahisi wewe ni punga unatafuta basha, potezea tu
   
 12. Fakhi Jumaa

  Fakhi Jumaa JF-Expert Member

  #12
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 239
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Samahani sana wana jamvi kwa kutumbukia ndani,naomba kueleweshwa maana ya kujailbreak na ku unlock.Na je kipi kinaanza kati ya jailbreaking na unlocking,na kama nimepewa simu ambayo haisomo chip za hapa kwetu,natakiwa nianzie wapi?(kwa maana kwamba kwa simu ambayo imestuck kwenye icon ya chaja ya iphone na cd yenye nembo ya itunes) na kwa simu ambayo ina icon zinazoonekana zote nifanyeje? Msaada tafadhali wana jamvi,kwa yeyote anayejua, natanguliza shukrani
   
 13. Fakhi Jumaa

  Fakhi Jumaa JF-Expert Member

  #13
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 239
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Na hii yangu inaonesha ki logo cha i tunes na chaja ya iphone.By Muanzisha uzi
   
 14. mojoki

  mojoki JF-Expert Member

  #14
  Nov 16, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 1,333
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mkuu niko na hiyo simu yenye hizo specification iphone 4 iOS 5.1.1 Baseband 04.12.01, imetoka Germany, Mtandao wa T-mobile bado ipo kwenye contract hadi 05/04/2013. Naomba nisaidie pls inawezekana kwel fundi akanifanyia Factory unlock (Not jailbreaking)kwa sasa while still in contract?
   
Loading...