How to Unlock Airtel Huawei E303h-1 Hi link

yangu hai detect
hiyo software inahitaji net toka hotspot au modem nyingine isiyo ya huawei.
kama haikubali basi modem yako itakuwa dead completelly.
yangu ukichomeka inamweka mweka kama kawaida,haisomi port wala haikubali kuingia project mode.
nikitumia hiyo hisilicon inadetect port pia dashiboard ya huawei nafunguka na modem inasoma network bars ila huwezi kuconnect
 
yah natumia internet ya wifi, yangu ukichomeka computer inatoa tone kuwa kitu kimechomekwa ila haiblink wala huoni com port
 
Yangu inablink kama ikichomekwa,
Sijajua jinsi ya kupata credit au cracked version kama ile Dc crap ili nicheck kama nitaweza irudisha kwenye uhai
 
dccrap ni kwa ajili ya modem za zamani, hii dc mpya inaconect na internet sidhani kama inachakachulika, inataka credit ngapi? nakumbuka credit moja ilikuwa ni euro moja ni kama shilingi 2500 za Tanzania
 
Issue ni Kwamba hapo sisi tune flash Firmware ya Stick wakati modem ni Hi link.

Kuna mtu alikua nayo nae akai Brick anasema akiweka kwenye zile Router inasoma.
Shughuli ni kuirudisha kwenye uhai mkuu.
Nataka nijiripue na hiyo Hisilicon firmware writer maana ya free inaniwezesha kusoma com port na inaleta detail zote kama:- model, Imei,firmware version,dashboard version etc
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom