Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,419
- 18,371
Ubuntu ni nzuri,na uzuri wake computer yako haiwezi kupata virus.
But ina limitations sana kwenye kudownload,kila ukitaka kitu lazima iwe kwenye "ubuntu software center".Na hapo vile vya maana wanauza,utakuta wanauza vingi.Huwezi ku-google ukadownload tu kitu unachotaka.
Nataka ni-run window 7 kila cd nikijaribu inagoma,kila nikigoogle nikifuata maelezo bado naambulia patupu.
Msaada please kwa waliotumia ubuntu mli-install vipi windows zingine?