Am mechanical engineer fouth year.Ninachotaka kukwambia n kwamba physics ina formula katika kusoma
1.Unatakiwa kwanza ujue ubongo wako una GB ngapi i.e una uwezo mkubwa wa kukumbuka au n wakuelewa n kusahau haraka.
2.Unatakiwa upate mwalimu sahihi wa tution au kukufundisha.Apa ukichemsha ndio umeharibu ubongo ukimezeshwa tango ilo ilo ndio utajibu.
3.Material ya kusoma yawe yana concept zote n zilizoelezewa kw lugha fupi n rahisi ili usichoke sana.
4.Unatakiwa ukisha soma tution chukua notes au material husika usome.baada ya apo unashika vitabu kuanzia nelcon y zaman mpk ya ss,University physics UP,Rodger Muncaster,Chand yan unalaza maswali y vitabu vyote baada ya apo unaenda kweny review zote kuanzia y miaka ilee elimu ilipoanzishwa Tanzania,baada y apo ss utakuwa nondo ss unachukua mlima wa past paper kila siku unafanya maswali kadhaa ya topic uliyoishughulikia.
5 .Ukifikia apo unachukua topic ingine unaifanyia hivyo hivyo mpk mwisho w siku unazikata zote unakuwa n uwezo w kusolve pepa nzima so unaenda mwendo w discussion kw past paper n fitness km series.
Note.pia masomo mengine unaweza fanya hivyo hivyo incase km swali litakushinda tafuta mtu alifanye kuna vipanga usikubali lilale.nadhani ukifanya hivyo utafanikiwa n utakuwa vzur sana