Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,769
- 3,649
Natambua ya kuwa kuna plugin nyingi sana za wordpress za caching na speed improvement ambazo ni nzuri and most of them are highly recommended lakini kwa upande mwingine plugin hizo zinaweza kumpa shida mtumiaji au web developer ya namna ya kuzitumia hasa kama hauna uzoefu nazo. Leo nitawafundisha simple codes ambazo inaweza kuziapply katika website au blog yako na ikakuletea matokea mazuri mara moja bila ya kuumiza kichwa.
Note: Code hizi zinafanya kazi kwenye .htaccess file ambalo linapatikana kwa wale ambao wanatumia Apache web server. Kama wewe hautumii Apache then hii tutorial haitakufaa.
.htaccess file
Sasa kitu cha kwanza kabisa unachotakiwa kufanya ni kwenda moja kwa moja kwenye file lako la .htaccess ambalo linapatikana kwenye wordpress main or root directory ukilifungua hilo file na text editor program yoyote utakutana na kitu kama hiki:
Sasa baada ya kufika hapo hatua inayofuata ni kufanya madiliko kidogo ambayo yatasadia kuongeza speed kwenye website yako
Compression
Sasa ili compression iweze kufanya kazi tutaenda ku-enable module moja ya Apache ambayo inaitwa "DEFLATE". DEFLATE ni output filter ambayo inaruhusu output files files from the server ziwe compressed kabla hazijatumwa kwenye browser ya mtumiaji.
DEFLATE inafanya kazi sawa sawa na unavyo-compress files kwenye PC yako into either .zip or .rar
Hapa chini nitaweka simple codes ambayo itacompress aina mbali mbali za files katika website yako:
Tutaenda kuweka codes hizi mwisho kabisa wa codes za .htaccess ambazo ulizikuta mwanzoni ulipofungua file lako la .htaccess ili ionekane kama ifuatavyo:
Browser Cache
Sasa hapa tutaenda kuiambia browser kwa muda gani ishikilie resources like images, css and javascript files ili kusiwe na haja ya kurequest hizo files kila mara website inapo-load.
Zifuatazo ni code ambazo zinacontrol settings za exparation date kwa baadhi ya files na kuwasiliana na browser:
Ukiangalia hapo juu unaweza kuona kuwa kuweka expiration ya 2 hours inaweza isikidhi matakwa yako kwa hiyo unaweza kubadilisha code hizi kadiri ya matakwa yako kama ifuatavyo:
Final Outcome
Baada ya kumaliza kuweka codes zote nilizoeleza hapo juu, file lako la .htaccess inatakiwa ionekane kama ifuatavyo:
Baada ya kumaliza na kuhakikisha kila kitu kiko sawa save your file, clear browser cache yako na fungua tena website yako ili kuona speed improvements.
Kwa maoni, maswali au ushauri usisite kuwasiliana nami kupitia anwani zifuatazo:
E-mail: meezy@youngmaster.co.tz
Mobile: +255789 884 221

Code:
# BEGIN WordPress
<IfModule mod_rewrite.c>
RewriteEngine On
RewriteBase /
RewriteRule ^index\.php$ - [L]
RewriteCond %{REQUEST_FILENAME} !-f
RewriteCond %{REQUEST_FILENAME} !-d
RewriteRule . /index.php [L]
</IfModule>
# END WordPress

# START Compression
<IfModule mod_deflate.c>
# compress text, html, javascript, css, xml, (and more):

AddOutputFilterByType DEFLATE text/css text/plain text/html text/richtext
AddOutputFilterByType DEFLATE text/javascript application/x-javascript application/javascript application/json
AddOutputFilterByType DEFLATE text/x-component image/svg+xml text/xsd text/xsl text/xml image/x-icon
</IfModule>
# END Compression

# START Expires
<IfModule mod_expires.c>
ExpiresActive On
ExpiresDefault "access plus 2 hours"
ExpiresByType image/gif "access plus 2 hours"

ExpiresByType image/png "access plus 2 hours"
ExpiresByType image/jpg "access plus 2 hours"
ExpiresByType image/jpeg "access plus 2 hours"
ExpiresByType image/ico "access plus 2 hours"
ExpiresByType text/css "access plus 2 hours"
ExpiresByType text/javascript "access plus 2 hours"
</IfModule>
# END Expires

ExpiresDefault "access plus 1 month"
ExpiresDefault "access plus 4 weeks"
ExpiresDefault "access plus 30 days"
# Or, If your feeling rather specific:
ExpiresDefault "access plus 1 month 15 days 2 hours 11 minutes 3 seconds"