Natumai mu wazima kwa
yeyote ambae ana tatizo
nampa pole. Huwa nasikia
watu wakizifia computer
zao kwa kudownload
haraka. Unakuta mtu
kudownload file la 1GB
haoni tatizo. Mambo ni
tofauti kwangu kwa
sababu laptop nayotumia
ina speed ya kobe kiasi
kwamba hata
kudownload file la mb 10
unategesha labda unataka
kuondoka au kulala ndo
unaiacha ikidownload.
Natumia simu (nokia)
kama modem na mtandao
wa voda. Pia natumia
macbook pro ina operate
mountain lion na browser
yake ni Safari. Wapendwa
wanaJF je, kuna
uwezekano wa kufanya
manouver ili kuongeza
speed? Natanguliza
shukuran na upendo ili
busara amani na
uvumilivu viwe pamoja
nasi kuepusha lugha za
matusi, kejeli, na dharau.
Ahsanteni sana.
yeyote ambae ana tatizo
nampa pole. Huwa nasikia
watu wakizifia computer
zao kwa kudownload
haraka. Unakuta mtu
kudownload file la 1GB
haoni tatizo. Mambo ni
tofauti kwangu kwa
sababu laptop nayotumia
ina speed ya kobe kiasi
kwamba hata
kudownload file la mb 10
unategesha labda unataka
kuondoka au kulala ndo
unaiacha ikidownload.
Natumia simu (nokia)
kama modem na mtandao
wa voda. Pia natumia
macbook pro ina operate
mountain lion na browser
yake ni Safari. Wapendwa
wanaJF je, kuna
uwezekano wa kufanya
manouver ili kuongeza
speed? Natanguliza
shukuran na upendo ili
busara amani na
uvumilivu viwe pamoja
nasi kuepusha lugha za
matusi, kejeli, na dharau.
Ahsanteni sana.