nakushauri utumie editing software inayoitwa Final Cut PRo, na hiyo software inatumika kwenye computer za Apple Macintosh tu. Ni software nzuri maana unaweza kuwa na video na audio layers nyingi tu hivyo inakuwa rahisi ku0edit music videos. Njia rahisi ya ku-make music videos ni vizuri utumie more than one camera, itakuwia rahisi tu.