How To Shoot A Music Video

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,031
21,499
ndio wakuu. nina dv cam yangu ambayo ina megapixels za kutosha na zooming safi tu. ningependa kufahamu basics za kushoot music video na latest programs zinazotumika. mini nina ka basic knowledge ka pinnacle studio. kwaio ningependa kufaham utaalam huu niweze kumake my own videos. thanks in advance wakuu
 
nakushauri utumie editing software inayoitwa Final Cut PRo, na hiyo software inatumika kwenye computer za Apple Macintosh tu. Ni software nzuri maana unaweza kuwa na video na audio layers nyingi tu hivyo inakuwa rahisi ku0edit music videos. Njia rahisi ya ku-make music videos ni vizuri utumie more than one camera, itakuwia rahisi tu.
 
shukran mkuu
 
ndio wakuu. nina dv cam yangu ambayo ina megapixels za kutosha na zooming safi tu. ningependa kufahamu basics za kushoot music video na latest programs zinazotumika. mini nina ka basic knowledge ka pinnacle studio. kwaio ningependa kufaham utaalam huu niweze kumake my own videos. thanks in advance wakuu

unatumia camera ya aina gani?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom