Help: How to make a tutorial video

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,047
21,522
Salaam wakuu, hapa ningependwa kujuzwa jinsi yakutengeneza hizi video tutorials kama zinazopatikana youtube. unakuta mtu ana narrate na maneno yanatokea halaf sometimes unaona kama anasolve kwa mkono kabisa (ukiangalia mwandiko), huwa ni software gani inatumika? ningependa kufaham ili niweze kutengeneza video za masomo mbali mbali esp. Maths ili wenzetu waliopo mashuleni pia waweze kunufaika kwa ma tutorial ya vitu kaMA differential equations,numerical methods, probability etc/ Eid Mubarak!
 
sa si ndo ungesema? hovyoooooooooooo,

Kuna software inayotumika ! Dhats y nkasema ukiisearch hyo post utaipata coz waliiandka na jna lake...

Kuhusu hapo penye mstari im not sure..,. Kama nngekuahovyobas nngekua nmekutukana.,.... And guess what? Shukuru i dont wanna ruin my day... Other wise moderator angenipa ban la kutosha

Hayaaa isiwe ishu sanaaa pitia thread iliyopo HAPA

Utapata una chotaka. Ila skuzngne ukiniita hyo hak ya mimi UTANTAMBUA:embarrassed:
 
Join Date : 26th February 2012
Location : iringa
Posts : 334
Rep Power : 392
Likes Received34
Likes Given2

[h=2]
icon1.png
[/h]
 
anaonekana hajakuwa, afu hafanani na jukwaa hili hawa wana majukwaa yao ya mipasho.
 
anaonekana hajakuwa, afu hafanani na jukwaa hili hawa wana majukwaa yao ya mipasho.

huyu mzeewaloliondo ndo anaonekana hajakua coz nmemwambia atafute hyo thread ananiita hovyooo nmeamua kumsaidia kuitafuta anakuja ku post info za my profile... It means bado haja grown up... Mtu kazoea kujesha chitchat af anakuja kutusumbua humu....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom