step 1: download "root checker basic" kutoka playstore then dowload na install kingroot kutoka link hii
http://downloadandroidapkget.blogspot.com/2015/05/download-kingroot-apk-latest-version.html?m=1 (utaziona zipo kama tatu tofauti ila wewe chukua ile ilioandikwa latest version)
step 2: fungua root checker yako halaf click sehem palikoandikwa verify root status; itarespond na kukwambia "sorry, the root access is not properly installed in this device"...usiogope hapo ni kwamba unafanya test kama device yako iko rooted tayari au bdo (hii ndo sehem utayokuja kuconfirm kama device yako imekuwa rooted successful baada ya kuiroot) then close root checker app.
step 3: connect device yako na internet ambayo iko strong halaf nenda ufunguae kingroot app ulioinstall then unatouch button iliyoandikwa "try to root" (ukifika hapa hutakiwi kuiinterupt device yako kw namna yeyote ile just iache mpaka imalize process yote halaf itajirestart (device yako inaweza ikajirestart zaidi ya mara mbili so usiwe na wasiwasi ikiwa hivyo iache mpaka iwe kama kawaida unavyoireboot) ikishamaliza utaona kuna application 2 zaidi zimeongezeka (king user na king master ambayo hii inakujaga na maneno ya kichina kwa hiyo isikutishe)
step 4: baada ya hapo unarud tena kwenye root checker yako then unatouch sehem ile ya hatua ya pili...hapa status ya device yako itaonekana kama iko successful rooted au bado, kama utakuwa bado haujawa granted root access jua kuna some errors zilitokea so utarudi kwenye kingroot yako utaenda kuclear errors zilizotokea during the process; utatumia button ile ile ya "try to root" hapa siyo kwamba process itaanza tena upya, hapana bali errors tu ndo zitafanyiwa kazi (hapa device itajerestart tena baada ya kuclear errors)
step 5: jaribu tena kuconfirm status ya device yako na root checker...then you are ready to go ( your device will be rooted)
"baada ya hapo unaweza kutumia king user kumanage apps zako zote zinazohitaji root access"