nilikuwa naomba msaada on how to root Samsung Note 3
Kabla ya ku root simu jiulize unaroot ili ufaidi feature gani?
Ukijibu hilo tutakushauri ufanya je?
being able to access root system files, such as silencing the camera, or changing the startup/shutdown music, and under/overclocking
and also installing free apps,games etc
Free apps and games just grab blackmart alpha its a app store,you will b able to acess paid apps free
kaka nakushauri usitafute root ya simu yako kama alivosema secret service kwa sababu hizi.
chainfire ndio kama baba yetu linapokuja suala la root na developer huyu amezungumzia ishu ya kueka custom rom kua ni kama haiwezekani samsung wameeka security kubwa japo upo uwezekano wa kuihack hio security ila mambo bado.
kwa maana hii ni kwamba utakuta post nyingi za kuroot ila nyingi zake ni scam wanatafuta visitors na sinaweza zikaharibu simu yako.
kuhusu free app hizi zinapatikana bila kuroot just google jina la app likifatiwa na neno apk kwa mbele.
Hivi mkuu naweza pata njia ya ku-upgrade samsung s2 kuja ic cream sandwich/jelllybean
your help will be appreciated
1.njia ya kwanza ambayo ni easy na safe
nenda setting then about nenda software update. sidhani kama kuna s2 ambayo bado kureceive hii update.
2. njia ya 2 kwa kutumia kies
ikitokea njia ya kwanza imeshindikana download kies kwenye pc yako conect simu na pc yako kwa kutumia kies kisha angalia update kwa kutumia kies.
3. kwa kutumia odin (very risk)
ikitokea za juu hapo zimeshindwa itabidi uflash simu kwa odin na hapa utahitaji vitu hivi
-firmware ya simu
-pc yenye odin
-driver za simu na usb cable
utadownload firmware ya simu kwenye pc kwanza na unatakiwa uhakikishe firmware ni ya s2 yako. kuijua aina ya s2 nenda setting then about utaiona aina ya simu. ukidownload firmware ambayo si ya s2 ujue unaharibu simu hapo hapo.
ukimaliza download firmware unadownload na odin unaopen odin then unazima simu unawasha kwenye download mode (home+volume down+ power) unaconect simu na odin kama imeconect vizuri odin itaandika com na kutoa rangi blue/kijani then unaclick pda unalocate ile firmware then unaclick start kuanza kuflash simu.