How to restore lost partition | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

How to restore lost partition

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Prince Nadheem, Aug 10, 2012.

 1. Prince Nadheem

  Prince Nadheem JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 1,026
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 160
  Habari za usiku wa leo wanajamii?? jamani naombeni msaada wa namna ya ku restore hard disc maana kuna kama 50 gb za HDD naambiwa kuwa unallocated.
  hii ilitokea wakati nafanya partition ya hard disc wakati computer ilipoanza kama ku stuck na baadae kweli computer ilistuck so ikabidi kui restart mashine na ndio hapo wakati ilipowaka ikawa new volume haionekani ndio hadi hivi navyoomba msaada wa namna ya ku recover hiyo 50 GB ila nikienda katika disc management na kuangalia disc allocation all the volumes are seen kasoro hiyo 50GB ambayo naambiwa ni unallocated but healthy, jamani naombeni msaada wenu ili niweze ku restore hiyo volume.
  Thanks in advance
   
 2. Prince Nadheem

  Prince Nadheem JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 1,026
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 160
  jamani mbona wa2 mwaangalia tu post yangu? naombeni mchango wenu please...
   
 3. m

  moseskafuno New Member

  #3
  Aug 12, 2012
  Joined: Aug 10, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Nenda katika computer management and then select unnlocated disk then right click chagua change drive letter and paths,,,... fuata maelekezo hapo. kama utapoteza data fomart then utatumia hiren`s boot cd kuzirudisha data zako.
   
Loading...