1. open iyo autorun.inf kwa notepad, itaonesha path ya uyo mdudu inaweza kuwa .exe, .vbs, au lingine
2. nenda kwenye folder lilipo ilo faili (linaweza kuwa hidden) kisha delete
3. njia hii sio effective sana maana jamaa wanajua kuwa mtu unaweza kudelete manually, uyo virus anaweza kujiduplicate kwenye location tofauti tofauti na inakuwa vigumu kumuondoa