Smiles
JF-Expert Member
- Aug 24, 2009
- 1,231
- 107
- Thread starter
- #101
Smiles
Wengi sana duniani waliamini kwamba hakuna infidelity... na ukiona unasema hivyo ujue uko kwenye range ya plus or minus two years na ndoa yako
Baada ya hapo utaitikia tu, call of nature
Kama mnabisha sahuri yenu
Acid wewe tu ndiye unayesema hayo...
Mimi kwangu 'no to infidelity' itaendelea kuwa pale pale...