How to prevent "Infidelity"

Hii imetulia sana. Naamini hatajali kama kuna carpet au la. Na kama kuna meza au kiti. May be hicho chumba anachoongelea hakina hata kuta....LOL!!


Mkuu picha nzima ulishaisamaraiz hapa chini......:A S thumbs_up:


Hakuna kuharibika kitu hapa. Infii home zinaishi kwa realities na siyo hypothetical life. Kwa hiyo watu wanaosubiri ushauri wako ni wale wanaoishi kwa nadharia ya hizo rules zako.

Hebu fikiria amani na bashasha unazokuwa nazo ukirudi home unajua kuwa kuna kibarua cha kumalizia baada ya kupata organic flavours huko kwenye uwanja wa ugenini? Ni kitu muhimu sana hicho kuliko kujaribu kujifungia kwenye uzio wenye matundu kila upande!
 
Where is my (beloved) secretary? Damn, ameshakwenda nyumbani!!?
 
Actually.....the one i have is working very fine for me!!!

U can't resist INFI i know how much you want to be part and parcel of it, you remember what you told me please don't say you don't remember cause surely you do remember
 
Actually.....the one i have is working very fine for me!!!
You think it is working very fine with you because you haven't tried one ours and especially that of Finest!
Comon' loosen up a bit....try new things.
 
Yaani hata mjaribu kuni-convince vipi.......bado sidanganyiki!!!
Hata mweka hazina mwenyewe kashindwa.....:becky::becky:
 
:confused2::confused2::confused2::confused2::confused2:
Smiles

Wengi sana duniani waliamini kwamba hakuna infidelity... na ukiona unasema hivyo ujue uko kwenye range ya plus or minus two years na ndoa yako

Baada ya hapo utaitikia tu, call of nature

Kama mnabisha sahuri yenu
 
Yaani hata mjaribu kuni-convince vipi.......bado sidanganyiki!!!
Hata mweka hazina mwenyewe kashindwa.....:becky::becky:

Umeambiwa mara ngapi kwamba viongozi wakuu wa infidelity sio waongo????
You have been warned....
 


2. Recognize that work can be a danger zone. Don't lunch alone or take coffee breaks with the same person all the time. When you travel with a co-worker, meet in public rooms and not in a room with a bed.
............
*He He He* all the best jamani...[/QUOTE]
:A S-danger: I wish I could, but with co-workers in nyoyo showing blauziz like yako, hata kama ni in public huu ushauri won't work out-nitajikuta nimeishaingia tu, sorry for saying what is in my mind!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom