how to partition drive c?

how to partition drive c?

olele

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2010
Posts
1,305
Reaction score
1,578
habari zenu wakuu, nina lap yangu hapa niliinunua kwa mtu haina partition kwenye drive c kwa maana gb 320 zote ni drve c. inawezekana nikaifanyia patition bila kuifomat nataka gb 80 hivi niweke ubuntu na zilizobaki ziwe windows. kumbuka sitaki kufuta kitu chochote, inawezekana??? can somebody help plizzzz
 
unaweza kuinstall ubuntu ndani ya window bila kuformat ila kuweka partition hapo pagumu
 
kama upo on windows seven, right click computer alafu uchague manage.
*kwenye window mpya itakayofungua, chagua disk management. right click on disk yako na uchague SHRINK.
*windows itachukua sekunde kadhaa kupiga hesabu disk yako ina ukubwa gani na unaweza kuchakachua kiasi gani.
*utaletewa yet another window ambayo itakuwa na sehemu ya kuchagua unataka kuiba kiasi gani (in Mbs)
*piga next next za kutosha na utapata a new unallocated disk
*format the new disk ili iweze kuonekana kwenye windows and you are good to go

kazi ya dakika tano, huhitaji any external program, kaujuzi kidogo, na since unataka kuweka Ubuntu nachukulia una uwezo so sitaweka screenshots, ila ukikwama, nipo around
regards,
Leh_zpscbe4b466.png
 
Inawezekana lakini ni risky kwani humo ndimo kuna OS Tafuta hiii program Partition Magic ilasidhani kama kuna version ya windows 7 Pia jaribu kupitia Windows Disk Management inaweza saidia. Au download hii EASEUS Partion Master: Free Partition Magic alternative. Best Free Partition Manager Freeware for Windows 2000/XP/Vista/7/8 32 bit & 64 bit - EaseUS Partition Master Home Edition. KUWA MAKINI NA FUATA MAELEKEZO UNAWEZA KUSHINDWA KU-BOOT
Hiyo ya kutumia Windows disk management nadhani ndio safe zaidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom