luvcyna JF-Expert Member Joined Feb 24, 2009 Posts 1,848 Reaction score 1,940 Jun 3, 2011 #1 wakuu wajamvi, Nawasalimuni nyote. leo Naomba mchango wenu katika hili, ukiwa na window vista katika computer yako isiyo genuine,... je kuna namna yeyote naweza kuifanya ikawa genuine?? msaada pliz
wakuu wajamvi, Nawasalimuni nyote. leo Naomba mchango wenu katika hili, ukiwa na window vista katika computer yako isiyo genuine,... je kuna namna yeyote naweza kuifanya ikawa genuine?? msaada pliz
Rural Swagga JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 1,643 Reaction score 1,177 Jun 3, 2011 #2 Download software inaitwa VIsta 7 Slic Loader ,n then install kwenye mashine yako itakupa option ya kureboot imetoka
Download software inaitwa VIsta 7 Slic Loader ,n then install kwenye mashine yako itakupa option ya kureboot imetoka
P Paul S.S JF-Expert Member Joined Aug 27, 2009 Posts 6,411 Reaction score 3,278 Jun 3, 2011 #3 Dah Kuna watu bado wanatumia vista?
Lord Member Joined Feb 13, 2009 Posts 91 Reaction score 26 Jun 3, 2011 #4 Na je kama unataka kuifanya window 7 kuwa genuine?