afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,145
- 9,215
<br />
<br />Jamani inafanya kazi,from 86kg to 83
Hongera sana .....
<br />
<br />Jamani inafanya kazi,from 86kg to 83
There is no way to reduce/loss 7Kg a Week rather than darrea+vomiting though it's very risk! Figure out all food which 'll lead you kuhara+kutapika zen within 7days automatically you 'll loss 7Kgs successuful. All the best!
Punguza menu. Mnagonga msosi tangu jikoni mkionja, Njiani, Ofsin, shambani na mnaleea miili kama mnataka kuuza fat afu mnahaha na kupunguza unene.
Mtafute mtu akuboe sana mpaka upoteze hamu ya kula..au chochote kila kinachoweza kukupunguzia/potezea apetite...mi nilipunguza kilo 4 ndani ya siku sita!