How to install xampp in w7 ultimate

mkurugenz

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
241
Reaction score
21
Wana jf,salaam: Nimekuwa nikijaribu ku-install xampp lakini imekuwa inafail kufanya kazi na mwanzo ninpoanza ku-install huwa kuna message kucheck user contro account (UCA) kama ni kikwazo cha kuweza kufanya kazi. so wana jf mwenye uzoefu wa ki-install hii software kwenye w7 naomba msaada. Natanguliza shukrani za dhati.
 
Mkuu,

Umefungua thread tatu tofauti unazoulizia kitu hiki hiki.

Katika moja ya thread uliyofungua umepewa jibu la swali/maswali yako.

Angalia hapa: https://www.jamiiforums.com/tech-ga...m/526968-installing-xampp-in-w7-ultimate.html

Weekend Njema.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…