Original Pastor
JF-Expert Member
- Nov 14, 2007
- 1,274
- 50
Habari wakuu msaada wa haraka unahitajika. Habari zenu poleni na majukumu ya Kujenga Taifa ambalo linaliwa na Mafisadi.Na Chadema ndo mtetezi wa Mwisho wa Wanachi wake. Naomba Msaada nataka Ku Install Google chrome katika window Vista Home Basic kwani nikijaribu inakataa sasa sijui kwa nini inasema Hii haiwezi ku install sababu hii country ihaipo katika list sasa sijui kwanimi? Nimejaribu kwenye Window Xp imekubali sasa nifanyeje? Natumia Laptop LG HDD 110GB, Ram 1GB. Asante nasubiri