achengula
JF-Expert Member
- Jul 30, 2009
- 380
- 225
Habari wana JF, Natumia laptop yenye window 8. Nashindwa ku-install program aina ya msi na nyingine zenye mfumo wa zip. Nilitaka kuinstall swahili dictionary ya TUKI ndipo nilipo anza kuona hilo tatizo, sasa nikataka ni-install winzip nayo inakataa maana ipo katika mfumo wa msi.Sasa sijui nifanyeje, nimejaribu kugoogle wapi sijafanikiwa kwa hiyo naombeni msaada wa kitaalamu hapa kwenye tuta.