How to install FIFA 14 katika window 8.1 pro

How to install FIFA 14 katika window 8.1 pro

said duse

Member
Joined
Jul 21, 2016
Posts
98
Reaction score
10
Habari zenu wanaJF.
Samahanini jamani nilikuwa naomba kueleweshwa jinsi gani naweza ku-install mchezo wa FIFA 14 kwenye PC yangu yenye window 8.1 pro kwan nimejaribu kila njia lakn cjafanikiwa.
Msaada kwa mwenye kufahamu.
 
Umedowload au njoo chukuwa kwangu ukiweka huna haja yakuinstall linacheza lenyewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom