How to identify twins

Mmoja ana sura nene/pana na mwingine sura nyembamba pia mmoja ana nyusi nyingi kuliko mwingine....mimi nimegundua hivyo
 
Hawa wajafanana sana nna cousin zangu hadi leo siwajui tofauti zao

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Ningewapata kama hao hadi raha tena mmoja awe girl na mwengine boy

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Kwani wakiwa jinsia tofauti wanaweza kufanana sura?
 
Kushoto kama mchina kulia kama mzungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…