How To Identify Legit Work At Home Business. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

How To Identify Legit Work At Home Business.

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by BizNaughty, Jun 6, 2012.

 1. B

  BizNaughty Member

  #1
  Jun 6, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama unaona shida kusoma, unaweza tu kuanzia hapa: http://www.neobux.com/?rh=4E617344617A .

  Katika kuhangaika hangaika namna ya kujiongezea kipato, nikajikuta nalazimika kujiingiza katika what's so called "Work At Home" or "Make Money Online." Changamoto iliyopo ktk biashara hii ni katika kupata Legit Work At Home/Make Money Online Job! Nyingi, ni za kitapeli. Wataalamu wa masuala ya Online Jobs wanabainisha kwamba, Kila penye One Legit (Legal/Real) Work At Home/Make Money Online Jobs, kuna Sixty Fake Jobs! Katika kundi hili, Online Jobs zilizo maarufu ni zile zinazojulikana kama MLM na PTC (Paid To Click).

  HINT TO ENTER WORK AT HOME/MAKE MONEY ONLINE JOBS!
  The best way to be safe kwenye hii biashara ni kutofanya malipo yoyote in advance. Ipo baadhi ya mitandao ambayo inamtaka Member kulipa Registration Fee. Be careful, unless you have full information about the site. Wengi ni matapeli. Mbaya zaidi, hivi sasa kuna baadhi ya mitandao ambayo ina-act kama Legit News Centres! Ingawaje machoni wanaweza onekana kama ni chombo cha kawaida cha habari, lakini kimsingi unakuta ni mitandao ile ile ambayo shughuli yake ni kutangaza hizi Fake Jobs! Mfano mzuri wa hiyo kitu ni mtandao mmoja unaofahamika kama News Daily 7! Hawa jamaa ni Professional Scammers! Ukifungua mtandao huu unaweza kushawishika kwamba ni kweli Legit News Website! Humo utakuta Ads za kampuni mbalimbali za utangazi duniani kama vile CNN, BBC, Fox News n.k! Yote hiyo ni katika kupata attention!

  NINI AMBACHO NINGEPENDA KUSHAURI.

  Kama nawe ni mwenzangu ambae unatafuta namna ya kujiongezea kipato, basi usichoke till you get enough! However, be careful with many Work At Home/Make Money Online Jobs. Kama nilivyotangulia kusema hapo kabla, nyingi ni feki. Mie katika kutafuta various information about hii biashara, nikakuta na huu mtandao : NeoBux: The Innovation in Paid-to-Click Services . Hawa jamaa wanahusika na PTC Jobs. Hawa, angalau nimeshawishika nao. Si tu kwavile kuna rafiki yangu mmoja ndie alienipa infos zao, hapana! Nilijaribu kwanza kutafuta infos mimi mwenyewe. Sehemu ambayo ilinishawishi kuwaamini ni pale nilipotembelea Forum yao ambayo members wanajadili mambo mbalimbali. Kuna forum moja iliyokuwa na title: Making a Living Out of Neobux? Kuna michango mbalimbali ambayo karibu yote ni POSITIVE! Na haielekei hata kidogo kwamba wachangiaji ni among of neobux employees kutokana na michango yao. Kwa kiasi fulani, hawa wamenishawishi….! Hata hivyo, jambo moja lipo wazi, ni kazi inayohitaji commitment ya hali ya juu if you really wanna make money and not cents! Labda jambo lingine, kama upo busy and still you wish to make more money, then inabidi uingie mfukoni na kukodi Referrals! Ukibahatika kupata good refferals, basi unaweza kutengeneza hela nzuri sana!

  Let me end here, ila kama unataka kujaribu bahati basi just get registered hapa:
  http://www.neobux.com/?rh=4E617344617A Hata hivyo, ukishajisajili, jaribu kwanza kutembelea FORUM kisha nenda kwenye sub forum ya Business and Finance. Ni muhimu kutembelea hapo ili ukajiliridhishe kwanza.

  WISH YOU ALL THE BEST.

  NB: Kwa wale wapenzi wa different type of Videos, Online and Offline Games, Online Shopping and many more, then try to visit http://www.myperfectinternet.com/?refid=2d9c0
  Ukishafungua, click Join Now kisha enter your email adress and password. Ukisha-confirm password, click Terms, na ikishafunguka, scroll down na u-agree kisha tena click Privacy Policy na agree ndipo u-click Join Now for the second time.
   
 2. Edoedward1

  Edoedward1 JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 799
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 60
  Daah its like i was looking for you,i once have met with thse scammers,i wasted almost three hours reading their endless stories but at the end after registering they wanted some payments from me with alot of assuarance but because i was so cautious i just closed the window since they alredy annoyed me ila honestly i was looking for such job...let me try this link u provided
  Thank you
   
 3. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #3
  Jun 7, 2012
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  I need to know more about this as I keep searching and your thread is quite informative Naughty...just curious... how do the make the payments? how much can a commited person expect to make in case they devote the procious time to do this?
   
 4. B

  BizNaughty Member

  #4
  Jun 7, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Edoedward1, you did good bro! Hao ni full scammers!!! You're looking for money so how come on the very first minute some1 asks you to pay money if you wish to make money?! Let me put this way, MOST of these are scammers. Ni very very very few money making websites ambazo on the very first day zinakuhitaji ulipe lakini bado wakawa sio scammers. Ninachomaanisha ni kwamba, ni kweli zipo sites ZA UKWELI(LEGIT) ambazo zinakutaka ulipe kwanza on the same day ili u-enjoy service zao. Hata hivyo, nyingi ya zile zinazokutaka ulipe on the first day ni SCAMMERS/MATAPELI. Ni kweli, wanakupa GUARANTEE ya kukurudishia pesa zako endapo utaona hujafaidika nao au hujaweza ku-make any money with them!! Suala la kujiuliza, ni kwamba utawapata vipi wakurudishie fedha hizo!! So, the best way to be safe ni kuachana kabisa na mitandao yote ambayo inakuomba ulipe fedha unless u're sure with what u're doing!

  Kuhusu Neobux, trust me....hii ni legit Pay To Click website. You can work with these people without paying any coin but while making some few dollars. Hata hivyo, endapo member atahitaji additional service, kama vile kuwa premium member na mambo mengine kama hayo, ndipo member atatakiwa kulipia. Wakati mwingine member atahitajika kulipa kwa ajili ya kukodi referrals....rented referrals na premium membership zinasaidia sana kukuongezea kipato.
   
 5. B

  BizNaughty Member

  #5
  Jun 7, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Let me start on how you can make money with these people.
  As stated earlier, aina hii ya online money making inafahamika kama Pay To Click, yaani PTC. Kuna PTC websites nyingi sana, tena sana! Lakini nyingi ni scammers! So, kama jina lilivyo (PTC), member analipwa kutokana na idadi ya matangazo anayoangalia ambayo yanakuwa displayed mara kwa mara!! Ni kama jambo lisilowezekana, lakini kibiashara inawezekana! Si ajabu katika kuangalia angalia huko unaweza kukutana na product or service ambayo umeipenda na ukajikuta unainunua ingawaje lengo lako halikuwa hilo!!! So, kila unapo-click tangazo na kuliangalia, you get paid. Hiki kiasi unacholipwa kutokana na matangazo unayoangalia kinaingizwa moja kwa moja in your Main Account. Likewise, in every adverts you watch, unapata 1 Neo Point Bonus ambayo nayo inaingizwa moja kwa moja kwenye your account. Therefore, you can transfer your cash available in your main directly to your PayPal Account which you can also transfer them to your ordinary account. Kutokana na hilo, utaona kwamba, in order to transfer your cash received from your Neobux inabidi uwe na PayPal Account!! Nazani ni challenge kidogo lakini usitishike kwavile tu hauna PayPal Account. Binafsi, nili-join wakati hata ndoto ya kuwa na Paypal account sikuwa nayo!! Lakini my main balance ilipokuwa na pesa ya kutosha ndipo nikaamua kufungua account CRDB na kupata Visa Card ambayo iliniwezesha kufungua PayPal account kisha nikaamisha mkwanja kutoka Neobux hadi kwenye account yangu ya CRDB!!
  Na kuhusu NeoPoints, hizi zinakusaidia kupata deals mbalilmbali zinazotolewa. Mathalani, unaweza kukuta mtu mwenye NeoPoints 20,000 basi anaweza pewa kitu kama laptops na vitu vingine kama hivyo!
  NOTE: Sincerly speaking, njia ya kuangalia matangazo inalipa fedha ndogo sana!! Hata hivyo, wakati unaangalia matangazo, unaweza kukutana na offers mbalimbali kama Adprizes ambazo zenyewe zinalipa vizuri kidogo as compared to matangazo ya kawaida! Hata hivyo, si ya kutegemea sana.
  SO CAN YOU MAKE ENOUGH MONEY?!
  The best way to make enough money with ZERO cost is through Dirrect Refferals. Yaani, as you invite as many members as possible na kama members wenyewe ni active then you make money through them. Lakini kwa wale wenye uwezo, huwa wanaamua kukodi hizo refferals, hata hivyo bei yake si kubwa. Na namna nyingine ya kuongeza ni kwamba you pay about $2 a day ili kutangaza link yako.

  How much you can earn?!
  Kama nilivyotangulia kusema hapo awali, ukiwa commited, you can earn not less $200 a month! Hata hivyo, wapo wanaopata more than $2000 a month! Lakini any amount above $ 500 utahitajika kutumia fedha kidogo; angalau $ 100++ a month.
  WHAT YOU NEED TO DO NOW?!
  Hawa jamaa wana complication kidogo. Sio kama JF kwamba una-join leo na leo leo unaanza ku-post...kwa hawa NO! Kwanza, ili uweze ku-invite refferals, unatakiwa uwe member kwa not less than 15 days na kungalia angalau matangazo 100! Hata hivyo, viwango ni vya sasa baada ya members kulalamika na zamani wakati mimi naingia ilikuwa ni lazima uwe member for at least 30 days. Hata hivyo, wala usitishike na hayo matangazo 100. Unaweza ku-afford kufikia hicho kiwango in a week.
  Ask me anything if you wanna knw more infos
   
 6. Edoedward1

  Edoedward1 JF-Expert Member

  #6
  Jun 7, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 799
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 60
  BizNaughty kaka me binafsi nakushukuru sana, to be honestly ni watu wachache sana anaweza kupoteza muda wake kumuelimisha myu asiyemfaham but u jus did it tena u sounded commited and willing to help,Much respect bro!!

  Nway lets come to buzness,yesterday i registered kwa hawa jamaa wa NeoBux n am now a member but i was like blind didnt know wat to do but at least i had an idea kwamba its money making web or PTC as u said,
  After reading ur details now i think i have a good foundation to start with..

  Qn
  Mbona kama i saw very few advertisements hayo 100 per week ntayapata wapi?

  Thank you in Advance Bro!
   
 7. B

  BizNaughty Member

  #7
  Jun 8, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Edo,
  u're right mkuu....unajua yale matangazo yanakuwa pale for only 24 hours then yana-expire na yanawekwa mengine.So, inawezekana ulipo-log in matangazo yalikuwa yamesha-expire but am very sure ukiingia tena utayakuta tu.
   
 8. Edoedward1

  Edoedward1 JF-Expert Member

  #8
  Jun 9, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 799
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 60

  Owk bro BizNaughty!!
  i am now in it trying to do wat i gat to do, i now hav 0.024..thanks for the support n advice...i hope u wont get tired of assisting me as i hope to do this thing 4 sometimes..
  Nice weekend n stay blessed
   
 9. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #9
  Jun 12, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
 10. B

  BizNaughty Member

  #10
  Jun 12, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Edo,
  worry out buddy..i'll always be here for u! Don' hesitate to ask me anything!! but all in all,fight hard to have 100 neopoints so as u can be able to invite/buy refferals
   
 11. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #11
  Jun 12, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,567
  Likes Received: 1,930
  Trophy Points: 280
  Just to warn you, clixsense ni kwa wamarekani tu. So, usipoteze nguvu huko. Heri kujiunga na hizi sites ambazo zinalipa uhakika:

  [​IMG]

  [​IMG]  na pia unaweza cheki hii http://uinvest.com.ua/?amigosid=18536. Hawa jamaa sio HYIP bali ni genuine investors.
   
 12. mocran

  mocran Member

  #12
  Jun 13, 2012
  Joined: Apr 26, 2012
  Messages: 41
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  sasa naona wabongo tumeamka kwa hizi ishu ila mimi ni mmoja kati ya members wa neobux na buxp lakin tatizo mojawapo nililokutana nalo ni kuhusu zile payment processor ,mimi natumia alertpay{payza} but ninashindwa ku-fund account yangu ya alertpay kutoka kwenye bank account ili ni rent referrals kwa ajili ya kuongeza kipato zaidi.
  kama kuna mtu mwenye alertpay account ambayo ni verified ningependa kuongea nae BIG DEAL
   
 13. mocran

  mocran Member

  #13
  Jun 15, 2012
  Joined: Apr 26, 2012
  Messages: 41
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
 14. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #14
  Jun 15, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  Mkuu wangu, hiyo alertpay wala sikujisumbua kuifungua....kabla ya kufungua account ya alert pay ulianza kuangalia endapo Tanzania ipo kwenye list ya nchi ambazo alertpay ina-offer service zake?! Au haupo TZ?! But all in all, many PTC zina-discourage matumizi ya one payment processor kutumiwa na member zaidi ya mmoja. Kama upo TZ, nazani njia rahisi ni kutumia paypal...!! Pata hiyo paypal ili ui-invest....i like neobux, uki-invest za kutosha, unaweza kabisa kuachana na kazi za kuajiriwa kama hapa bongo!!

  Kwa wale JF members ambao ama wameajiriwa na hawana kipata cha kutosha au hawajaariwa kabisa but wana-access na network, ningewashauri waanze kutafuta njia mbadala kwa kuingia hapa: http://www.neobux.com/?r=NasDaz

  NB: Don't try to open multiple account with neobux coz' jamaa wapo serious ile mbaya na wakikushtukia tu, wanaku-terminate on the spot.
   
 15. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #15
  Jun 15, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  Mkuu wangu hiyi kitu sio kweli kabisa...narudia SIO KWELI! Nenda kwenye User Agreement ya Clixsense na utakuta eligibility: Hebu angalia hapa chini kuhusu eligibility:
  "1. ELIGIBILITY
  You must be 16 years of age or older to participate in ClixSense
  . ClixSense is open to US and International members and is void where prohibited by local governing laws.

  In an effort to ensure the integrity of the ClixSense advertising program, the persons in any of the following categories are NOT eligible to participate in the ClixSense program in the capacity of ad viewer: (a) persons who are employees or agents of ClixSense, or its respective parents, subsidiaries, affiliated companies, or service agencies, or independent contractors of any of the above organizations; and (b) persons who are immediate family (defined as mother, father, sister, brother, daughter, son or spouse) of any person in any of the preceding categories, regardless of where they live. Nothing herein shall be construed to prohibit a person's right to maintain a ClixSense account for advertising purposes nor does this policy restrict the promotion of a person's affiliate link."

  Je, ni nani hao INTERNATIONAL MEMBERS?! Hebu pitia tena User Agreement na utagundua kwamba they're not for US alone....just join here and make your move: Paid to Click Advertising at ClixSense . I trust Clixsense than any other PTC including Buxes, with exception of neobux. Unajua many PTCs wanatumia sana brand ya "bux" may be kwavile wanafahamu neobux ni 100% trusted. If Someone would ask me which PTCs should i recommend to them basi ni neobux: http://www.neobux.com/?r=NasDaz pamoja na clixsense: http://www.clixsense.com/?4209540 . Tatizo kubwa ninaloona kwa clixsense ni ile policy yao ya kutotumia rented referrals kama wafanyavyo neobux. Lakini ukiangalia vizuri, policy hiyo ni mzuri sana kwavile inatoa equality among members. Policy ya kutumia Rented Referrals inayotumiwa na neobux inafanya maskini kama sisi tusiwe na uwezo wa kutengeneza mkwanja wa nguvu na kutoa nafasi kwa wenye uwezo kuwa ndio wenye kutengeneza pesa nyingi zaidi.
   
 16. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #16
  Jun 16, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,567
  Likes Received: 1,930
  Trophy Points: 280
  Mkuu my apology. Uko sahihi kabisa. Nilikuwa nafanya baadhi ya tasks kwa ajili ya kuongeza kipato lakini kila nilipomaliza test zao waliniletea ujumbe kwamba task hizo ni kwa US na Canadians tu. Nili-miss enterprate huo ujumbe. Lakini Clixsense ni mojawapo ya the best and trusted PTCs. Again my apology.

  Vipi umejaribu hii? Hawa ni honest na ukijiunga tu wanakupa kianzio cha $5 instantly

  http://hits4pay.com/members/index.cgi?nyenyere
   
 17. pettymarcel

  pettymarcel JF-Expert Member

  #17
  Jun 17, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 1,399
  Likes Received: 600
  Trophy Points: 280
  Jaman am very agressive i need to learn more about ths jana nilijiunga na neobux nikafanikiwa ila nilivolog in nimeshindwa kuelewa how 2get money nimeclick matangzo nambiwa nijirejiste je is that how it works.? Plz help me. Ukiwa aggressive enough with this site, trust me...you can make alot of money ingawaje i trust neobux as well coz' i have been in both websites for couple of months now.[/SIZE][/QUOTE]
   
 18. pettymarcel

  pettymarcel JF-Expert Member

  #18
  Jun 17, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 1,399
  Likes Received: 600
  Trophy Points: 280
  Am very agressive jaman i need help nimejiunga na neobux sasa katika kusoma matangazo kila tangazo kuna kujiregister tena is that how it works maana bado sijajua i need to learn more plz msaada
   
 19. mocran

  mocran Member

  #19
  Jun 17, 2012
  Joined: Apr 26, 2012
  Messages: 41
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  [/QUOTE]

  kama unaitaji kujifunza zaidi kuhusu hii kitu its better to visit HERE.
   
 20. pettymarcel

  pettymarcel JF-Expert Member

  #20
  Jun 18, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 1,399
  Likes Received: 600
  Trophy Points: 280
  Thanx stay blecdkama unaitaji kujifunza zaidi kuhusu hii kitu its better to visit HERE.[/QUOTE]
   
Loading...