How to hide an office romance

good gal, thats exactly why it takes two to tango...now am getting ready and will be there in a minute...everything is set babe....see you:car::busu

I have to add something on the above rules... when we meet sweet K there wont b any need to :hug: and make sure you carry the love medicine for i don't to get :mimba: and as much as its all romance I don't want awkward positions like :behindsofa: .... Drive safely....
 
Asha D, i didn't take a note of this i just skipped it for the sake of Mr D....LOL!!!
 
Kuna watu niko nao ofice moja, mmoja ni bosi zaidi. Basi anatoka na mke wa mtu mfanyakazi mwenzetu. Ofisi nzima inajua ila wao wanaona wanajifiiiicha. Penzi kweli ni kikoozi. Tunamuombea tu huyu bosi asifatwe na pisto na mwenye mali! Mwanzo waliweza kuficha siku hizi unakuta wako ofisini kwa bosi wanakula wote nyama choma each and every day during lunch time. Sasa do you need to be a spy kuelewa what's going on? Alafu huyo bosi hanaga amani akiona vidume vingine vinakuwa close na mamaa. They are so open now but I wonder whether they are aware of that.
 
NK tatizo hao hawajafuata rules za Kimbweka vizuri..... Wameshanogewa na kinachofuata ni an explosive situation... Ikiwezekana print this kamuwekee Boss mezani kama vile umekosea documents....
 
Asha unataka nifutwe kazi!
 
Unajua Gaga sijui kama nakua dogmatic kuhusu hili but I believe the way unaji present kwa huo Boss ndo the way ata ku treat, sijui unaonaje wewe ???
Wengine wamepinda sana ila unajitahidi kumuweka in a way that anakuelewa kwamba pale upo kikazi bila kumdharau au kumkasirikia mwisho wa siku anakuelewa tu
 
Ukimkataa ovyo ovyo mbona inakula kwako... Hapo unatumia diplomacy kidogo... anglia below niambie kama haiwezi fanya kazi... LOL
"Unajua Boss nimevutiwa saana nawe mpaka najiona mwenye bahati kufatwa nawewe, but sitaki niku lead on wakati najua hatutafika popote - maana bado kufanya operation ya pili kati ya tatu nilizopangiwa ktk maeneo yangu of interest to you mana yana uvimbe unaota mpaka kuziba njia..."
 
Kuna njia nyingi tu za kuwatolea nje, ingine ni kuongea sana unapokuwa karibu nae unaropoka ovyo pointless na kujifanya mjuaji mpaka anakuchukia
 
LOL..LOL... i like that, but mwingine anaweza asijali mana hana interest na mdomo wako; yeye shida yake :A S 465:
 
Kwa kuwa jana na leo nina muda hapa janvini, nawafahamisha tu kwamba nimepita hapa
 
But, why having it all the same? Are we encouraging JF members to go astray????? Out of their marriage/affairs? No please!!!! the consequences are too gear...broken marriages, heart broken, street children, and the like! Say a big no!
 
Okada usiogope... Hio inatumika kwa vile vichwa vilivyopinda na kua blocked hata umwambie vipi yeye na romance za ofisini tu... Alafu office romance wafanyao si wote wana familia...
 
LOL..LOL... i like that, but mwingine anaweza asijali mana hana interest na mdomo wako; yeye shida yake :A S 465:
Si amekuzoea uko cool upo ki lady ghafla unabadilika saaana anaona kama aliingia choo cha kike
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom