Wapenzi wa MMU asbh ya leo hebu tujifunze jambo dogo lakin la muhimu kweli juu ya mahusiano yetu kwa mba ni jinsi gani twaweza kupona kutoka katika mahusiano yaliyovunjika. mimi nianze kwa kutoa mbinu chache wengine mtamalizia:-
1) usikimbilie kabisa kuanzisha mahusiano mapya jipe muda uwez kusoma upepo.
2) jitengenezee marafiki wa kawaida ambao ni wa sex tofauti ili wakupe company tu hasa ya outing ili kukutoa upweke
3) hakikisha marafiki unaoweza kutengeneza ni wale ambao wako kama wewe yaani siyo couples zitakazo kuumiza moyo
4) hakikisha kama unataka kuanzisha mahusiano u pick from the group na ndio sababu ya kusema uwe na marafiki wa kampany tu.
nawasilisha. karibuni kwa mchango wenu
hiyo namba 4 sio lazima...bt namba 1 its tru..i believe kama ulikua na mtu for a very long time mkaachana mh u need at least a year to recover
cathe hapana binadamu anakawaida moja kwamba jambo kubwa likimtokea na kureact soon basi huishia kuamua kwa hasira zaid badala ya kuamua kwa akili.dada gfsonwin mi nina maswali.
1 huoni nisipoanzisha mahusiano mapya nitakuwa nafikiria zaidi mahusiano yaliyovunjika? Hivyo kusababisha niumie zaidi. Na huo muda wa kujipa ni miaka/miezi mingapi?
2 marafiki inabidi tutengeneze kabla au baada ya mahusiano kuvunjika?
3. Nitajuaje kama hawatoniumiza moyo?
4. Kama nipick from group ina maana marafiki ninaowatengeneza lazima niwe na hisia za kimapenzi juu yao ili at the end nijue nampick nani. Ndivyo?.
Mwache huyo msaliti............nasikia kanunuliwa bajaj basi kajua Kaizer ndio shemeji pekee duniani...halafu wewe!!
kwani mdogo wangu wewe unataka nikununulie nini? mshahara wangu wa mwez huu ntautumia kwa kazi hiyo ma dearest true bro. si unajua jinsi nikupendavyo? me luv you sana ma bro.
RIP king'astiHebunileteeni ushahidi na vielelezo vya hayo aliyosema hommie Asprin jamani. nivea mi nakupendaga nondo zako kwen siasa, hapa kama ujuavyo wananisingizia kabisa hata gfsonwin anajua, Yummy anajua, BADILI TABIA anajua, Catherine anajua. Mbaya zaidi kuna mashemeji zangu wanajua mi mtu mwema kabisa, Roulette, dada yangu King'asti, hata sijui akisikia haya atatamani kujinyonga, kuna rafii yangu fazaa naye atawashangaa sana
Wapenzi wa MMU asbh ya leo hebu tujifunze jambo dogo lakin la muhimu kweli juu ya mahusiano yetu kwa mba ni jinsi gani twaweza kupona kutoka katika mahusiano yaliyovunjika. mimi nianze kwa kutoa mbinu chache wengine mtamalizia:-
1) usikimbilie kabisa kuanzisha mahusiano mapya jipe muda uwez kusoma upepo.
2) jitengenezee marafiki wa kawaida ambao ni wa sex tofauti ili wakupe company tu hasa ya outing ili kukutoa upweke
3) hakikisha marafiki unaoweza kutengeneza ni wale ambao wako kama wewe yaani siyo couples zitakazo kuumiza moyo
4) hakikisha kama unataka kuanzisha mahusiano u pick from the group na ndio sababu ya kusema uwe na marafiki wa kampany tu.
nawasilisha. karibuni kwa mchango wenu
Mbu unachokisema ni kweli lakini ni kwamba pia jf pia panatumika kama sehemu ya kutuelimisha ma dear na ndio maana tunafundishana hapa si unaujua?Theoretically inawezekana, practically mnh!!!...
Tried and tested the bitter truth...
Mending the broken heart haina formula ambayo ni applicable
kwa kila mtu, ...binafsi naamini malezi na makuzi yako pekee ndiyo
yanayoweza kukuokoa "mdomoni mwa mamba!"