how to heal from a breaking relationship?

gfsonwin

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
18,274
20,673
Wapenzi wa MMU asbh ya leo hebu tujifunze jambo dogo lakin la muhimu kweli juu ya mahusiano yetu kwa mba ni jinsi gani twaweza kupona kutoka katika mahusiano yaliyovunjika. mimi nianze kwa kutoa mbinu chache wengine mtamalizia:-

1) usikimbilie kabisa kuanzisha mahusiano mapya jipe muda uwez kusoma upepo.
2) jitengenezee marafiki wa kawaida ambao ni wa sex tofauti ili wakupe company tu hasa ya outing ili kukutoa upweke
3) hakikisha marafiki unaoweza kutengeneza ni wale ambao wako kama wewe yaani siyo couples zitakazo kuumiza moyo
4) hakikisha kama unataka kuanzisha mahusiano u pick from the group na ndio sababu ya kusema uwe na marafiki wa kampany tu.

nawasilisha. karibuni kwa mchango wenu
 
Nyie watu mbona mnachukulia mapenzi siriaz saana?!!! Mtakufa siku si zenu. Ukiona anakuzengua, scroll down kwenye simu yako, stop kwa jina la yule aliyekuwa anakutaka, piga, anseni kujirusha, maisha yanaendelea. Simple. Mnatuamini sana wanaume e? na tutawatenda hadi mchakae...
 
gfsonwin are you talking from experience au ni theory tu?
If my record is right, ur hubby is the 1st man in ur life; nisahihishe tafadhari.

We heal differently, some people needs another man/woman to heal; some needs time n space some don't heal kabisa. Pia inategemea na how deep were u in love, commitment au investiments ulizoweka kwenye huo uhusiano.

Hakuna formulae kama ilivyo kwenye vitu vingi vya maisha!
 
loh! aya kaka
 
Wapenzi wa MMU asbh ya leo hebu tujifunze jambo dogo lakin la muhimu kweli juu ya mahusiano yetu kwa mba ni jinsi gani twaweza kupona kutoka katika mahusiano yaliyovunjika. mimi nianze kwa kutoa mbinu chache wengine mtamalizia:-

1) usikimbilie kabisa kuanzisha mahusiano mapya jipe muda uwez kusoma upepo.
2) jitengenezee marafiki wa kawaida ambao ni wa sex tofauti ili wakupe company tu hasa ya outing ili kukutoa upweke
3) hakikisha marafiki unaoweza kutengeneza ni wale ambao wako kama wewe yaani siyo couples zitakazo kuumiza moyo
4) hakikisha kama unataka kuanzisha mahusiano u pick from the group na ndio sababu ya kusema uwe na marafiki wa kampany tu.

nawasilisha. karibuni kwa mchango wenu

Mwalimu gfsonwin, unatupeleka wenzio chaka. How do you pick from the group wakati ukiwa tu kwenye hilo group automatically feelings zako zinamuwakia mmojawapo hata kama sio the best kwenye group?
I have a friend ambaye hutoka lunch na rafiki zake wengi wa both sex. Anapendwa sana na mdada mmojawapo wa hili group na huyu dada ni mzuri, anajiheshimu sana(one of the best I have seen), ni msomi, honest, mpole na mtaratibu. Jamaa anampenda another girl ambaye ameshamtesa sana mpaka sasa hivi but hajitambui, mpaka tunamshangaa! Mi huwa namshauri wasi hang out pamoja labda itasaidia.
How do you guarantee dear madam, that if someone hangs out with many friends wont end up picking the wrong one?
 
Last edited by a moderator:
gfsonwin are you talking from experience au ni theory tu?
If my record is right, ur hubby is the 1st man in ur life; nisahihishe tafadhari.

We heal differently, some people needs another man/woman to heal; some needs time n space some don't heal kabisa. Pia inategemea na how deep were u in love, commitment au investiments ulizoweka kwenye huo uhusiano.

Hakuna formulae kama ilivyo kwenye vitu vingi vya maisha!
kweli kabisa....ulosema dear..kuna mahusiano mengine ni rahisi kuachana nayo..lakini pengine inakuwa ngumu kweli kweli kutokana na nature ya mahusiano yenyewe ..ngoja nilale kwanza
 
Ulale muda huu, kunani?
 
Wapenzi wa MMU asbh ya leo hebu tujifunze jambo dogo lakin la muhimu kweli juu ya mahusiano yetu kwa mba ni jinsi gani twaweza kupona kutoka katika mahusiano yaliyovunjika. mimi nianze kwa kutoa mbinu chache wengine mtamalizia:-

1) usikimbilie kabisa kuanzisha mahusiano mapya jipe muda uwez kusoma upepo.
2) jitengenezee marafiki wa kawaida ambao ni wa sex tofauti ili wakupe company tu hasa ya outing ili kukutoa upweke
3) hakikisha marafiki unaoweza kutengeneza ni wale ambao wako kama wewe yaani siyo couples zitakazo kuumiza moyo
4) hakikisha kama unataka kuanzisha mahusiano u pick from the group na ndio sababu ya kusema uwe na marafiki wa kampany tu.

nawasilisha. karibuni kwa mchango wenu

hiyo namba 4 sio lazima...bt namba 1 its tru..i believe kama ulikua na mtu for a very long time mkaachana mh u need at least a year to recover
 
Dear kwangu mimi just to add up, huwa ni wakati pia mzuri wa kutubu na kumrudia Muumba wako, angalia ulipojikwaa, simama na endelea mbele. Nakumbuka siku moja kanisani ndoa ya mtu wangu wa karibu sana sana ikawa inatangazwa kwa mara ya pili, huku asilimia kubwa ya watu wakiujua uhusiano huo!! Niliona dunia iko vibaya
 
Mbona sielewi kitu?!, ngoja ninywe dawa ya usingizi nikiamka ntakua na habari mpya..
 
Time is best healer ,more take your space, grief alone if anecessary, cry out loud to take the pressure inside you and soon you will start a new fresh.
 
Tried every means jombaa but none worked, in a new relationship yet she is nat lyk her. Truly a little scratch makes her images roll in ma mind....
 
gfsonwin are you talking from experience au ni theory tu?
If my record is right, ur hubby is the 1st man in ur life; nisahihishe tafadhari.

We heal differently, some people needs another man/woman to heal; some needs time n space some don't heal kabisa. Pia inategemea na how deep were u in love, commitment au investiments ulizoweka kwenye huo uhusiano.

Hakuna formulae kama ilivyo kwenye vitu vingi vya maisha!
Kaunga labda niseme hivi sina experience ya relationshiip iliyovunjika but nina experience ya kuona watu waliopitia hali hii na wengi wao ambao nimekutana nao this is what they didi.

kwanza kabisa wanapoona hakuna kurudiana like take your time i take mine basi kuliko kuendelea kufa kwa jaka moyo huwa wanajiachia they hangout with friends so as to chill. baadae from there ndipo wanapotafuta nafsi kwa watu wengine. it takes time to start a new relationship lakin pia they don't choose very strange people.

to me this is an easier way than keeping it inside you and assuming that you can not heal as what Smile has said.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom