How to grab a picture from a video?

mbogyo

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2012
Posts
231
Reaction score
100
Naombeni mnisaidie namna kugrab picha kutoka kwenye video natumia nero6 na ashampoo burning studio but nashndwa so mwenye ufaham pls
 
yani kupiga picha event au vp.

kama ni hivo play video hadi ufike sehemu unayotaka kupiga picha then pause halafu open software yoyote ya screenshot kuchukua picha.

kama unatumia windows 7 au 8 kuna software inakuja na window inaitwa sniping tool tumia hio kutake screenshot
 
mi natumia wndow xp sp2

Tafuta Vlc Player inapiga picha (screenshot) kinachoonekana. Ukisha install customize it. Utakuta sehemu imeandikwa Snapshot drag ile icon popote itakapokuwa rahisi kwako kui access then ur good to go ✌️
 
thanks ngoja ntajaribu then ntakujb
 
Yes vlc hata kwangu ipo vizuri upande wa snap shot picha ya iyo video unayoicheki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…