Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
Wakuu mimi nachakalika sana kutafuta keys genuine sana sana za win8 ,kwa anayejua kutumia cmd kujua key iliyokuwa installed anisaidie sababu kuna wa2 wana genuine win8 na naitaka key yao nime google ,nikapata key finder ambayo ni vigumu m2 kukuruhusu ku install program asiyo ijua natanguliza shukrani