Jamani mnisaidie kama kuna uwezekano wa kutumia internet bure kwenye simu za nokia .
kuna ile ya usiku airtell kuanzia saa 5 mpaka saa 11
Jamani mnisaidie kama kuna uwezekano wa kutumia internet bure kwenye simu za nokia .
Jamani mnisaidie kama kuna uwezekano wa kutumia internet bure kwenye simu za nokia .
Tehe tehe unataka akeshe mwenzio si ndio?
Mia miaWeka line ya Voda na Tsh.250/= kisha piga *102*250# then subiri saa 5:00 usiku anza kutumia mpaka uchoke. ikifika asubuhi we piga mzigo mpaka ikugomee