Windows xp tena....? Kweli mazoea yana tabu ukikosa ni adhabu!!! Sishangai maana kuna watu ni xp mania, uwaambii kitu kuhusu wn xp yaani hata wakinunua brand new na na kuikuta na windows 8 au 7 wanatafuta fundi awawekee xp ya sp3. Mie hapa kuna afsa flani aliniletea pc yenye w8 full activation genuine ili niipige chini badala yake tuweke softvinn xp kama ya jamaa yake.