na ishu ya ku unlock mpaka sasa sio wizi.
Marekani mwisho wa mwezi january ndo imekua ni kosa la jinai ku unlock simu/modem/tablet/gadgets zote ambazo ni za mtandao fulani. Na bado kuna watu wanapinga maybe wanaweza futa.
Mpaka hii sheria ije tanzania maybe 2015 huko lakini kwa sasa sio wizi. Na kama unafkiri ni wizi tupe kifungu cha sheria kinachokataza.
Modem unaieka na line nyengine inakwambia yenyewe enter unlock code. Kama walikua hawataki hayo wasingeziweka vile wangefanya kama zantel (na makampun mengine ya cdma)