nicholousaloyce
Member
- Sep 26, 2012
- 26
- 1
Please jaman naombei msaada wenu nina modem ya airtel nataka kuiflash itumie line zote je ni download program gan itakayoweza kunisaidia tatizo langu

News alert? duh!!!!!!
Please jaman naombei msaada wenu nina modem ya airtel nataka kuiflash itumie line zote je ni download program gan itakayoweza kunisaidia tatizo langu
..... kila kampun ina brand yake ...
una maana gani ktk hoja iliyoletwa na mdau?
kwan software za kuunlock ziliwekwa kwa sababu gan?we kama hujui siukaushe
Nisaidie mm mkuu, Huawei EC 122 ya Zantel ila nimetafuta IMEI sijaiona.mkuu umeulizwa modem aina gani? Usianze kubishana na watu we una shida wao wanapayuka tu
Nisaidie mm mkuu, Huawei EC 122 ya Zantel ila nimetafuta IMEI sijaiona.