How to fix .dll errors in your PC

Samahan, wakuu..nichomekee pia tatizo lingine hasa kwenye game..niki-click ili ifunguke nianze kuplay..,inaniambia "insert original cd". Nimejaribu kudi-sconnect cdrom ili kuidanganya bila mafanikio. Solution please!
 

Mkuu shukrani sana. Imenizingua sana hii issue kwenye PES2013. Sasa nadhani tiba imepatikana...na mpira utaanza kudunda.
 
Kwangu imekataa kata kata, inaiambia inahitaji internet connection
 
mkuu shukrani sana. Imenizingua sana hii issue kwenye pes2013. Sasa nadhani tiba imepatikana...na mpira utaanza kudunda.

mkuu umefanikiwa? Mimi ndio bado kabisa. Na pia inaniambia insert original disc..sijui ndio nini.
 
Njia rahisi na safe ni ku install microsoft c++ run time, kama unatumia 64 bits na maranyingi ndipo tatizo hili hutokea inabidi uinstall microsoft C run time ya 32 na 64 yani uweke zote mbili ukiweka moja utaendelea pata hilo tatizo au njia nyingine ni kudownload hilo file dll linalomiss na kulipaste kwenye folders zifuatazo Windows/SysWOW64.
lakini njia nzuri ni ya kuinstall ms c++ kama nilivyosema hapo juu
 

Mkuu na hiyo itajitaji serial number?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…