donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Sometimes hizo software zinakuwa mizinguo tu mkuu kama vipi wewe google hilo tatizo na njia rahisi ni kuisearch hiyo dll inayo miss na kuiingiza manually, maelekezo yapo kibao mtandaoni
NB hakikisha una untvirus kuscan hiyo dll utakayo download
hilo tatizo lipo sana kwa PC yangu, real sucks
Salaam wakuu,
Sometimes unaweza ukainstall game au program fulani then ukitaka kuirun unakutana na kitu kama hiki:
The program can't start because d3dx9_27.dll is missing from your computer. Try reinstalling the program to fix this problem.
Well, solution ya tatizo kama hili wakuu ni kutumia program iitwayo DLLFixer, ambayo unaweza ukaitorrent ukaipata au baadae usiku nitaiupload ili kila muhitaji aweze kuipata kiurahisi. Asante
Pole sana mkuu, baadae utasahau kero hiyo
Nishakusaidia kuipandisha mkuu
Na kuna hili tatizo linadai ni-install PhysX 2.8.1, nishagoogle sana bt inakataa, help plz
Umejaribu kuinstall mkuu!
Nishakusaidia kuipandisha mkuu
Na kuna hili tatizo linadai ni-install PhysX 2.8.1, nishagoogle sana bt inakataa, help plz
Nadhani hukudisconnect internet wakati unainstall so wamekudaka ndiyo maana imekugomea.registration haitaki hiyo setup man
Nadhani hukudisconnect internet wakati unainstall so wamekudaka ndiyo maana imekugomea.
Kifupi hizo vitu unatakiwa uinstall na kuweka key ukiwa offline then kuiblock software kwenye firewall kabla ya kuconnect net but haiko neno chukua trick ya hapo chini ndiyo inakuhusu zaidi pia itawafaa na wadau wengine.
Muhimu:
Nimefungasha full version+crack pia kuna portable versin so ukishadownload hilo file liextract/Unzip nakusoma maelekezo kabla ya kutumia
Ok karibu tena MkuuYap...ilikuwa vp nilidisconnect internet ingawa firewall ilikuwaa active, bt at installation inkaniambia inahitaji internet connection, nilivyounganisha tu ikawa kimeo....anyway ngoja nidownload hayo makitu ya crack kwanza,then i will comeback soon
extract hiyo crack then ukapaste kweye program file===>dll.fixer exe.Inazingua bado...crack haikubali, inafanya computer iwe inacease!!
extract hiyo crack then ukapaste kweye program file===>dll.fixer exe.
kama ikigoma Unistall hiyo softwate then tumia portable version ambayo nimeattach mule mule haina kwere
hIYO NI MIA MIA BOSS KANYAGA TWENDEOk pouwa ngoja njaribu, hiyo portable haihitaji crack sio?