How to Find a Lost Phone

Waramba

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2014
Posts
324
Reaction score
305
Kwenu Wadau wa JF napenda kuwasilisha Jamvini ili kupata msaada,Nmepotelewa na Simu Yangu Aina ni Iphone 7 kwa yeyote anaeweza kunisaidia kuifanyia Tracking nikaipata naomba anipe support..Details zote za hiyo simu ninazo.... Naomba anitafute DM au kwa Whatsapp Number 0686899266...Hakuna kazi ya bure nitamlipa vizuri atakae fanikisha huu mchakato.
 
Fuata utaratibu karipoti polisi pata RB, halafu haohao polisi wata itrack mpaka waipate.. Ila uwaahidi kuwatoa
 
Kama uli activate' find my iphone ' unaeza kui track kwa kutumia iphone nyngine.
 
Andaa laki mbili.njoo bagamoyo kwa mganga.utaipata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…