How to explain SEX to teenagers | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

How to explain SEX to teenagers

Discussion in 'Jamii Photos' started by Erotica, Aug 3, 2012.

 1. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Katika dunia ya leo ni muhimu sana kuwafundisha wadogo zetu
  na watoto wenu elimu kuhusu sex na madhara yake. Unapata taabu ya
  kumuelekeza mdogo au mwanao? chukua darasa na tumia hizi picha kumuelewesha
  ili atambue sex ni nini na ajue namna ya kukwepa.

  [​IMG]


  [​IMG]


  [​IMG]


  [​IMG]


  [​IMG]

  [​IMG]


  [​IMG]

  [​IMG]


  [​IMG]


  [​IMG]

  [​IMG]


  [​IMG]

  [​IMG]


  [​IMG]


  [​IMG]


  Somo linazidi kueleweka, Asante mamito Mwali.... mwaaaaaaaaaah!

   

  Attached Files:

  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Aug 3, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,418
  Likes Received: 81,463
  Trophy Points: 280
  Hahahahaha lol!
   
 3. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #3
  Aug 3, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Mkuu iweke kwas Kiswahili basi! thubutu!!
   
 4. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #4
  Aug 3, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hapo sasa darasa linaendelea. kwa wale ambao ni members na hawajaelewa vizuri
  nitatoa mifano halisi. a 3some ni when mimi Ero tukiwa na Kaunga tunamkaribisha
  mtu kwenye tendo, kama vile maybe klorokwini.

  Hio harem ndio aliyokuwa imemsukuma Bishanga kuanzisha sred chit chat kwa
  ajili ya Asprin ambae ana wake BADILI TABIA, cacico, Yummy wakiongozwa na Kongosho
  na wengine ambao haijathibitishwa bado kama afrodenzi, King'asti, Remmy na sweetlady.

  Hio ya haterosexual ndio hio ambayo imebarikiwa na kukubaliwa katika vitabu vya dini pinzani
  za Kiislam na Kikristo. Wote wakiwa na adam na eva walio wakilishwa hapa jamvini na Rejao
  na Cantalisia au Kaizer na gfsonwin au Mr Rocky na Yummy au mimi Ero na HYGEIA.

  Hio couple swapping hutokeaga pale ambapo Ero na HYGEIA siku hio tunaamua kuswap wapenzi
  na Kaunga na Eiyer. sema tu Eiyer huwa anasumbuaga kuingia line hadi tumtongozee weeee!
  natamanigi awe kama The Boss, Nyani Ngabu, Ndahani, Erickb52 au hata RR

  Hio ya gang bang, usiombe hapo unakuwa mamito umebakwa na kundi zimaa! kama vile team
  ya wengi kama vile ile krew ya siasa yote ile ya wenye vurugu. unahisi kufa kufa kama sio kufa kweli!

  hio paedophile ni fataki wakutaka watoto wadogo, baba zima uvivu wakutongoza anawadangaya
  watoto kwa chips na soda na alf 5 or 10 kwa madai ya kukwepa ukimwi or kukuta bikira. kuna watu
  wana bahati hawakudanganyika wala kushawishika wakati wanakua kama vile Smile nahisi na Mwali.

  Hio ya viagra kochongeo kimeongea chenyewe.

  Hio ya gay na lesbian ndio hio ilifanya Invisible atupige mkwara wadau kule kwenye jukwaa letu la wakubwa.
  akina Zinduna, kibweka, SILENT WHISPERER, cartura na wengine wengi kuandamana!

  mimba inanizingua ngoja nipumzike.


  Mwaaaaaaah. Sex make the world go round. :flypig:
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #5
  Aug 3, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,267
  Likes Received: 1,419
  Trophy Points: 280

  Asante kwa somo la kutambulisha sex kwa watoto. Je wataepukaje menstruation na ejaculation.

  Pia sikujua kama menstruation inatambulishwa kama sex.

  Na je watoto wataepukaje menstruation.
   
 6. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #6
  Aug 3, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  huwezi kuongelea sex kwa mara ya kwanza bila kuongelea menustration

  na ejaculation. Hicho ni kipengele, tukiwafundisha watoto kushusu sex

  madhara na faida yote huwa related na menustration a ejaculation.

  ndio mana kuna protection na non protection illustration.
   
 7. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #7
  Aug 3, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Weeh Erotica unikome, mie kibabu ntakipeleka wapi? Si bora unilengeshee kwa BAK (napenda kicheko chake, kina haiba). Huyo babu mkaguzi hawezi kutwa mara tatu!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #8
  Aug 3, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0

  bora umethibitisha kama nilivosema haijathibitishwa bado. huyo Bak wa ukweee!
   
 9. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #9
  Aug 3, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160


  Umenichekeshaje? Mtoto ataepukaje menustration? Hivi hii inaepukika?
   
 10. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #10
  Aug 3, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  duu hiyo manstration nadhani ni usafi..
   
 11. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #11
  Aug 3, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Hivi Erotica kuna haja ya kumfundisha mtoto kuhusu gay, lesbian, threesome?
   
 12. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #12
  Aug 3, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,418
  Likes Received: 81,463
  Trophy Points: 280
  Best mie kulengeshewa sifagilii hata kidogo napenda ile process yote ya kumfukuzia mtu mpaka pale anapokuwa huru kutamka tena kwa mahaba...I love U BAK...lakini hawa wa kujilengesha eeeeeeeewwwwwwww!   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #13
  Aug 3, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  Erotica ni kasheshe
   
 14. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #14
  Aug 3, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Mwweeh! Basi ishakula kwangu.

  Ngoja ningojelee kufukuziwa,lol!
  Sasa hii dedication hadi niibe modemu ya maza akilala.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #15
  Aug 3, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,267
  Likes Received: 1,419
  Trophy Points: 280
  Mada inazungumzia kuhusu SEX na MADHARA yake ili kuwasaidia wadogo zetu na watoto wetu wajue sex nini na namna ya kukwepa.

  Sasa watakwepaje mensturation and ejaculation.

  Labda, kwa jinsi mleta mada alivyoileta mada yake. Ndio maana nikauliza si unajua kuuliza si ujinga.
   
 16. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #16
  Aug 3, 2012
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Mhhhh....

  Hivi wewe Erotica, syllabus yako inawahusu hata watoto wa kule Makete, Chato na Rutindi??

  Babu DC!!
   
 17. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #17
  Aug 3, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,943
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  somo zito
   
 18. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #18
  Aug 3, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  wewe haujatulia wewe
   
 19. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #19
  Aug 4, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #20
  Aug 4, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Unaweza kujikuta unauliza personal question " Erotica huwa unawaza nini mpaka kufikia hatua hii?" Nakupenda sana!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...