how to edit scan document

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
naomba kujua nitumie software ipi ili niweze ku edit scan document,nimejaribu ku search lakini naona ni ngumu kupata reliable one,,,
 
naomba kujua nitumie software ipi ili niweze ku edit scan document,nimejaribu ku search lakini naona ni ngumu kupata reliable one,,,

huwezi kuedit scan ducument kamwe.......inakuwa ni kama picha
 
hii ngumu mkuu....labda kama kuna advanced programs ambazo huwezi kuzipata for free online.
 
kuna program inaitwa OCR inakuja na scanner karibia zote, tafuta ndani ya cd iliyokuja nayo ya driver. Lakini yenyewe inafanya kazi wakati uki-scan documents inapeleka moja kwa moja kwenye ms word ingawa wkt mwingine kama kuna text na image kwa pamoja itabidi ku-arrange vizuri. Otherwise scan kupitia pdf format na utafute pdf editor software kama adobe professional na sio adobe reader
 
yc i once tried with photoshop and i had poor results let me try to check it again then i will tell u what to do.
 
naomba kujua nitumie software ipi ili niweze ku edit scan document,nimejaribu ku search lakini naona ni ngumu kupata reliable one,,,

una mana hiyo scanned dcument ni ya Text? May be jaribu ku soma
hapa yahoo aswers

Niliwai kufanya hii itu lakini nimesahu. Lakini kama una original document abla ya scanning nadhani unaweza uitumia na ukairescan na kufanya editnt kama maelekezo aliyotoa ja wa wachangji hapo.

Otheriwise nenda zero brain ( joke) maana wanaochakachua vitu kama bank statement na vyeti wana utaalam mkubw wa hayo mambo
 
Ni simple tu,haina haja ya another software ipo included na window! Ni PM nawe ni m1 wa wale hata muhuri wa ikulu unapata?
 
naomba kujua nitumie software ipi ili niweze ku edit scan document,nimejaribu ku search lakini naona ni ngumu kupata reliable one,,,

Unaweza kuedit hata picha uliyoscan sembuse doc za kawaida tu? Kwa kawaida kitu chochote ukishakisevu unaweza kukiedit kama ni picha unaweza tumia photoshop au kama ni doc ya maandishi unawezatumia microsoft word au excel
 
Back
Top Bottom