Wadau nilikuwa naomba kama kuna mtu anajua namna ya ku download ios 7 for iphone ikiachilia ile njia wi-fi kama kuna njia nyingine anielekeze plz
Hakikisha upo na computer yenye iTune 11 na ipo connected na internet. Kwa kutumia USB cable ya iPhone yako connect iphone hiyo kwenye computer na ikionekana tuu ita search for updates na itakuletea ujumbe wa kuwa kuna version mpya ya os kwa ajili ya simu yako. Hapo unaweza kuendelea
Thank you very much