autorun255
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 1,105
- 364
Mbona sasa ni general? coz kuna option tatu everyone, contact au nobody! Mi nataka ya mtu mmoja mmoja!
Kwenye lumia unafanzaje?
Ooh too bad!
kwani last seen ina tatizo gani?
last seen ina disadvantage kwenye mambo flani flani
1. sana kwenye uhusiano wa kimapenzi embu chukulia mpenzi wako mnachati nae usiku halafu anakwambia mi nalala mnakubaliana powa, lkn asbh kuangalia unaona last seen yake ilikua usiku wa manane we utajickiaje
2.mfano nimekutumia msg hujanijibu baadae nakuja kukuona last seen yako ulikua hewan muda flani bt hujanijibu msg we utajisikiaje
Umemjibu vizuri.
Hatua ni hizo haijalishi aina ya simu
Ingia whatsup
Chagua settings>>accounts>>privacy>> last seen
Kuna option 3 chagua inayokufaa.
whatsapp in lumia phones sucks.. Iyo option haipo mkuu
kaka ulishawah kutumia lumia phone yeyote? haipo iyo option ya privacy,ukiingia settings unakuta wamekuwekea text size, lock screen,screen rotation, block contacts na back up.. ukiswitch kwene account kuna connection state na account expiration.. hakuna option yeyote ya privacyOption zipi zilizopo??
Umewza kufika hadi kweny privacy??
kaka ulishawah kutumia lumia phone yeyote? haipo iyo option ya privacy,ukiingia settings unakuta wamekuwekea text size, lock screen,screen rotation, block contacts na back up.. ukiswitch kwene account kuna connection state na account expiration.. hakuna option yeyote ya privacy