Je umewahi tumia simu ya samsung smartphone?
Kama umewahi tumia au unayo hapa siku zote simu ya samsung original ina features mbili tu zitakazo kusaidia kuijua bila kuweka program yoyote
1.Samsung Account
Simu smartphone zote za samsung huwa na feature inaitwa "SIM CHANGE ALERT" na hii ukutwa katika settings>>>>security
Ukiwa ndani ya security utaona hicho kitu na hizo "Alerts ukuomba account ya SAMSUNG simu ya clone haina hiyo feature hata siku moja
2.*#0*#
Hii code ukusaidia kufanya testing ya functionalities za simu na simu kubwa zote za samsung menu yake uonekana kama picha nilivyoweka yaani kusiwepo na utofauti....na punde ukigusa "sensor" na kuweka kiganja juu ya screen ya simu uanza ku vibrate na kugeuka rangi kuwa kijani
Tafuta simu ya samsung ufanye hizo test mbili ambazo ni rahisi kuzifanya hata ukiwa dukani bila kuweka APK yoyote katika simu
Njia ya mwisho ni kuweka application ya CPU-Z katika simu ambayo itakusomea specifications za simu na wewe utafananisha na zile za GSM ARENA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.