Money Stunna,
Asante mkuu kwa elimu maridhawa, na kwa wale wenzetu ambao hawana simu za kamera, hapa elimu gani ambayo unaweza kutusaidia maana kwa kweli hoteli nyingi siku hizi zina kamera na wakijua umeingia na mchepuko basi wanakufaudu bila wewe kujijua.

Last edited by a moderator: