Kibua
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 660
- 1,851
Well, sometimes ukiwa nyumbani unacheki TV, remote inaweza kuacha kufanya kazi na hujui shida ipo kwenye TV au remote ndio tatizo.Unachotakiwa kufanya ni kuwasha camera kwenye simu yako na kuielekeza remote kwenye camera yako huku unabonyeza button yoyote kama una operate TV. Kama remote yako ni nzima, utaona kuna mwanga unatokea pale kwenye kibulb cha remote, ukiona hakuna mwanga unatoka then ujue remote inatatizo. So, unaweza kubadili batteries na kujaribu tena.
Njia hii inasadia kujua tatizo lipo kwa rimoti au TV....i hope umeelewa.
BTW, unaweza jaribu hata sasa kwenye remote yoyote uliyonayo.
All the best
I did know this before, thanks leo nimejifunza kitu tofauti
