How to delete someone else facebook account

Hii option haiwezi kufanya kazi, kwa sababu moja. Facebook wana record kila IP ya kila user anapologin. So ukisend hizo claims kuwa kuna hacker kwenye account yako, FB System Admis watachek IP zinazologin kwenye account yako na kuona kuwa hamna IP mpya inayologin so watagundua kuwa hii ni trick tu ya mtu kugain access.
Je, mtoa mada umeshajaribu hii njia na kuona inafanya kazi?

Yes it works 100% the IP address. let me give you an example. Wewe ni mtu wa kusafiri safiri na kila sehemu unapokwenda lazima utumie internet which means that every time u use an internet utakuwa unatumia IP mpya. Pia wale ambao hawana internet home au ofisini nao wanafanyaje? The best never shows his/her IP while hacking. he/she always hides it. keep that in mind boy
 
Nimejaribu imekataa mkuu. Hainiletei screen uliyotuattachia. Inanipeleka kwenye page ya kucreate new password to my account. Msaada kwenye tuta
 
imekaapoa, Jf kweli ni university! Nanyinyi ni ma prof niite student, nitania tu! SALUTE JF.
 
Nimejaribu imekataa mkuu. Hainiletei screen uliyotuattachia. Inanipeleka kwenye page ya kucreate new password to my account. Msaada kwenye tuta

Porabably kuna kitu unakosea. mbona hiyo screen mimi inaniletea hata sasa hivi?
 
Back
Top Bottom