man with vision
Member
- Dec 15, 2017
- 8
- 1
Ngoja nikurushie video ujifunze maana jf hatutaki watu wenye ujingaMaana kuna baadhi ya notes nazihtaji then niongeze na hints zangu ili nitengeneze notes .kuna mtaalamu Mwenye software ya kuweza Ku copy na Ku paste thl notes maana inaoneka wamedisable right click ndiyo maana inagoma kukopy na kupaste
Fungua hii video uondoe ujinga ila siku nyingine uingie google au youtubeWataalamu wa Jf naomba mnisaidie jinsi ya kukopi na kupaste Thl notes ili niweze kuzisoma muda wote na kuongeza hints ambazo zranisaidia kufundishia.nmejaribu kucopy na kuzipaste lakini inaonekana wameziwekea kizuizi.naomba msaada wana jamii forums
Umemwita mwenzio mjinga lakini wewe ndio unaonekana mjinga hujui kilichoulizwa. Copying kwenye pgs zingine ikiwemo hiyo google uliyotolea mfano wala sio sida. Tatizo amesema ni Thl. Sasa ungekuwa wa maana kama ungetolea hiyo demo kwenye Thl na sio google.Fungua hii video uondoe ujinga ila siku nyingine uingie google au youtube
how about free HTLWataalamu wa Jf naomba mnisaidie jinsi ya kukopi na kupaste Thl notes ili niweze kuzisoma muda wote na kuongeza hints ambazo zranisaidia kufundishia.nmejaribu kucopy na kuzipaste lakini inaonekana wameziwekea kizuizi.naomba msaada wana jamii forums