wakuu, mimi kwangu nafika mpaka hapo kwenye APNs, lakini haina options zozote ya kufanyia hizo settings, hapo sasa nafanyaje?? Msaada wenu tafadhali ....
ukifika hapo rudi chini kushoto kwa menu click utapata neno new hapo andika neno google mstari wa pili jaza neno wap arafu save
Settings->Wireless and network
settings->Mobile
network settings->Access point
names
select your Access point.
check if the APN is
"internet"