"Single Mother" ni trending vocabulary humu ndani The Monk so wahusika tunaenda nayo hìvyo hivyo.🙂🙂Where did you get this "Single Mother" vocabulary? In my opinion, Single Parent could be ideal.
Bundle ya kiingereza imeisha...
Tukirudi kwenye hoja.
Umegusia vitu vya msingi sana. Nikukumbushe tu, pale maslahi ya watoto yanapokua kipaumbele, mambo yanakua ahueni kwa watoto.
Kuna watoto hawapati hii haki ya malezi bora licha ya wazazi wote kuishi pamoja.
Ofcourse mkabasia 🙂Tunaruhusiwa kucoment ambao sio single mothers.
Well, mi kitu ambacho huwa sipendi ni mzazi mmojawapo kumshirikisha mtoto madhaifu ya mwenzi wake. Hata kama mmegombana jitahidini tofauti zenu zisilete chuki kwa watoto. Yani ile unakuta mtoto hampendi baba/mama kutokana na story alizoziskia kwa mzazi mmoja wapo.
Lastly maisha lazima yaendelee mlee mtoto katika njia impasayo hatoiacha hadi uzeeni.
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Yote kwa yote mlee tu mtoto wako vyema huku akijua baba yake yupo, ila usiingie deep sana kuelezea kilicho wafarakanisha. Everything will be okey.Ofcourse mkabasia [emoji846]
Huwa tunawaumìza sana watoto...ni vile hatujui tu. Sema yote hayo ni matokeo hasira/chuki towards the other parent [emoji19]
"Single Mother" ni trending vocabulary humu ndani The Monk so wahusika tunaenda nayo hìvyo hivyo.🙂🙂
Tukirudi kwenye mada...you are absolutely right.
As sad as it may be...ukweli ni kwamba watoto wengi wana-turn out owwkey kwa kudra za Mwenyenzi Mungu tu.
Hivi kwenye co-parenting kunjunjana huwa haipo kweli????
Mfano zari na mondi vile mara wako chumbani wote??? Mmh co-parenting za dizaini hizo haziletagi watoto wengine???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] true master hapo umenena. Unajua hizi mambo ni za wazungu, kwa huku Africa wakileta huu u****e ni suicide mission. Sababu wanaume ndio watacharuka mara mbili ya sasa wanavyoharibu.Kwa akili hii, single mama hawezi pata mwanaume serious akafurahia familia. This is bull shit.
Binti Ukizaa na mwanaume asiyetayari kuwa baba wa mtoto wako kwa kukuweka ndani na kukutunza kisha ukapata mwanaume aliyetayari kuwa na familia na wewe achana na uzungu wa you know,I am co-parenting with him even if i hate him, nyenye nyeenyeeee.
Mkuu ni uzinzi kwa kisingizio cha co-parenting.. wanaume si wajinga🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] true master hapo umenena. Unajua hizi mambo ni za wazungu, kwa huku Africa wakileta huu u****e ni suicide mission. Sababu wanaume ndio watacharuka mara mbili ya sasa wanavyoharibu.
Hivi kabisa me nikutane na mwanamke kwanza iwe zali nimempenda nikamuoa baada ya kujua ana mtoto, halafu aniletee hizi mbombo ngafu, yaani hatoamini movie ntakazomletea.....
Na mimi nitakuwa na co-oparent wenzangu kama 10 hivi...... Halafu tuone kama atahandle....
Mmmh kwakweli co-parenting sio kwa ajili yetu black people 😂😂😂Haaha kwa wanaojitambua hakuna; ila kwa wale kina sisi ni kupasha viporo kwenda mbele.
Ile ya Mondi na Zari labda kwa uzunguni na wenye mioyo ya kizungu. Em imagine mumeo wa kiafrika tena, anakuona chumbani na mzazi mwenzio eti mnacheza na watoto hehehhe
😂😂😂😂 Co-parent zako 10[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] true master hapo umenena. Unajua hizi mambo ni za wazungu, kwa huku Africa wakileta huu u****e ni suicide mission. Sababu wanaume ndio watacharuka mara mbili ya sasa wanavyoharibu.
Hivi kabisa me nikutane na mwanamke kwanza iwe zali nimempenda nikamuoa baada ya kujua ana mtoto, halafu aniletee hizi mbombo ngafu, yaani hatoamini movie ntakazomletea.....
Na mimi nitakuwa na co-oparent wenzangu kama 10 hivi...... Halafu tuone kama atahandle....
Ofcourse mkabasia 🙂
Huwa tunawaumìza sana watoto...ni vile hatujui tu. Sema yote hayo ni matokeo hasira/chuki towards the other parent 😒
Hii Kitu inaumiza Sana tena Sana ni Vile basi tuu unajikuta huwezi Rudisha Muda Nyuma Lakini Ukweli Ubinafsi na Kukubali Kubeba Upumbavu Kifuani ndo unapelekea Jamii Kuharibika kiasi Hiki... Maana watoto wanaojikuta katika Hali Hii Huwa na Shida Fulani kichwani wengi wao. Na hata mahusiano Yao Huwa ya vurugu tupu.. Kuna wakati ukisoma Bible unaona Kabisa ni Kwa Nini Mungu alionya Kuhusu Kutengana na Pia Kuhusu Misamaha.If u don't plan to stay together and build a family, why bring kids that u can't raise together under one roof. This is western culture bullshit.
Am out....
Lifestyle za siku hizi zinazo waharibu watoto, sometimes basi tu ubinafsi wetu tuna uendekeza mpaka tunawaumiza watoto.View attachment 1975018
Kwanza kabisa kabla hata ya kujadili Co-parenting....tuangalie nini hupelekea wazazi kutoweza kulea mtoto wao kwa pamoja in the same household.
Jibu ni......SEPARATION!
For many, separation is considered as a self centred action...and very rightfully so, because it usually happens when one party feels like the relationship is no longer working for him or her. But again, why be miserable together while you could be much happier apart?? Right??
Kanuni yangu kubwa when it comes to parenting is "Miserable parents are not the best parents for their children."
So unapofanya maamuzi kuhusiana na mahusiano yako na mzazi mwenzio ama partner mpya fanya maamuzi ambayo sio mazuri kwako pekee, bali kwa mtoto/watoto wako pia.
Now back to Co-Parenting......
Successful co-parenting is when separated parents put their differences aside and do what is best for the kids...ALWAYS!
That means prioritising their kids wellbeing in all aspects of their lives. Be it emotionally, psychologically, intellectually, financially and so on.
HOW TO CO-PARENT SUCCESSFUL
●Parents being civil towards each other
-Ni muhimu sana kuheshimiana na mzazi mwenzio, especially mbele ya watoto. You can dislike them all you want but still, be respectful.
●Not using the kid(s) as a weapon against the other.
-Watoto hawapaswi kutumika kumkomoa mzazi mwenzio kwa namna yoyote ile.
●Not jeopardising the kid(s) wellbeing for personal gain.
- Unaweza ukadhani kuwaambia watoto maneno mabaya ni kumkomoa mzazi mwenzio, kumfanya aonekane mbaya mbele ya watoto huku wewe ukijitutumua kwamba ni bora zaidi but in fact, wanaoumia ni watoto. Unaanza kuwafanya wahisi kuwa abandoned, neglected even. Wanaishia kuona they are not worth being loved or cared for by the other parent...and that will possibly create a very troubled person as a child all the way to adulthood.
●Being considarate.
- Misplaced anger is the worst kind of anger hivyo usielekeze hasira zinazotokana na mzazi mwenzio kwa watoto.
NO. MATTER. WHAT!
Kwa faida ya mtoto jitahidi kumnenea maneno mazuri siku zote. Hivi mtoto akiwa na soft spot towards the other parent wewe unapoteza nini?? Na unapomtukana mtoto kuwa ni mjinga, mbaya,mzembe etc. kutokana na mama/baba yake what do you gain??? Absolutely nothing!!! Ila kwa mtoto you are taking everything away from him/her. Kuanzia kujipenda, kujiamini, kujituma ana so on.
Just ask yourself one simple question...would you have liked it if the same was done to you as a child??? Probably NOT! Then don't do it to your child(ren).
Shirikiana na mzazi mwenzio kadri inavyowezekana kuwa wazazi bora kwa mtoto/watoto wenu.
BE BETTER!!
Cc
#SingleMothersClub (SMC)😁😁
bila kuwasahau #SingleFathersClub(SFC) japo huwa hawajitambulishagi humu kwa sana🙊🙊
Karucee Chakorii snowhite