How to change IVR TO MP3???

Papizo

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
4,944
1,431
Haya ndugu zangu habari za siku mbili tatu ila nategema wote tupo fresh hapa.......Sasa nilikuwa nina miziki yangu ambayo ipo kwenye format ya IVR sasa nilikuwa nataka niiweke kwenye IPOD yangu sasa nilikuwa nataka niibadilishe iwe mp3 sasa mnaweza kunisadia ndugu zangu nifanyeje ili niweze kuitoka kwenye IVR kwenda kwenye mp3 example hapa nataka nichange hivi Matonya-Ndio wewe.ivr to Matonya-Ndio wewe.mp3 so mwenye uwezo wa kufahamu zaidi naomba tusaidiane jamani au kama kuna software ipo naomba pia tutupiane hapa ili kila kitu kiweze kueleweka.Ok nadhani nitajibiwa kama nilivyoomba hapo.........

Cheers!!
 
Back
Top Bottom