jay_samuel_dunstan
Member
- Aug 6, 2014
- 39
- 3
Guyz plz help me I gat zte v6700 ambayo inatumia line moja tuu ya TTCL tuu and mm nataka kuichange niweze kutumia line za mitandao mbali mbali,na kuinstall custom ROM je there is any possibility to do this.
huwez kuchange cdma kuja gsm kwa software tu inabidi uwe na hardware za gsm pia.
kuna zantel wana cdma pia kama unataka choice
Duh! we una mnyonyoa sasa!Ndio maana kabla hujanunua simu angalia specifications zake kama zinakufaa. Sio unanunua simu haina front camera unakuja kuuliza hapa jinsi ya kuweka front camera.
Dah,,.huyu jamaa kanfurahsha na jibu lake,,Ndio maana kabla hujanunua simu angalia specifications zake kama zinakufaa. Sio unanunua simu haina front camera unakuja kuuliza hapa jinsi ya kuweka front camera.
Ndio maana kabla hujanunua simu angalia specifications zake kama zinakufaa. Sio unanunua simu haina front camera unakuja kuuliza hapa jinsi ya kuweka front camera.
sasa kama "ingekuwa na both systems" ungehitaji kubadilisha nini? Mafundi wa kiswahili bana, tabu tupuunless ingekua na both systems sawa
sasa kama "ingekuwa na both systems" ungehitaji kubadilisha nini? Mafundi wa kiswahili bana, tabu tupu
sasa kama "ingekuwa na both systems" ungehitaji kubadilisha nini? Mafundi wa kiswahili bana, tabu tupu
kuna simu zina gsm na cdma pamoja lakini carrier wanazilock kwenye cdma tu. simu kama hizi unaweza tafuta software solution ukaweza tumia line za gsm