How to bypass cyberoam

Mwenye maujanja tafadhali naomba anipe jinsi ya ku bypass kwenye cyberoam. thnks

Hayo maujanja utakayopewa naomba na mimi unimegee.Jaribu software hizi Ultra surf,proxifier na tumia proxy websites(utazipata hapa http://www.megaproxylist.com) utaweza only kama Network admin au yeyote anayesimamia ICT policy wamelala.Kwa wajanja hizo zote hapo juu hazifanyi kazi.Ukikamatwa dont say I didn't warn you.

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom